Mkuu nimekuja pm kwako sijafanikiwa naomba na mimi hio menu mpya ya siri ya yenye mabando mazuri kama ya mwanzo, kwa yeyote anaefahamu naomba 0712776823 WhatsApp.Pole sana mzee wa super co njoo inbox nikupe menyu ya siri kabisa
Tunarudije nyumbani wakati Baba hataki tutie miguu nyumbani kwake. Tumebembeleza hadi tumechoka!Rudini Nyumbani kumenoga. TTCL
Imebidi nirudi kuangalia USSD menu ya TTCL kwa makini. Hawana lolote, nao ni walewale, lao moja na mitandao mingine kukandamiza wananchi.Rudini Nyumbani kumenoga. TTCL
Mimi niko arusha huu mwaka wa4 natumia TTCL mwanzo network iliuwa mzozo ila bei ya vifurushi ilikuwa nafuu ila tangu mwaka jana network imeimarika na vifurushi vikapanda kama mitandao mingine,, kuhusu vocha unawez kununua kwenye mitandao mingine haina usumbufu kabisa na hususan kwa sasa vocha ya karatasi imekuwa adimu sana.. Ninacho wapendea TTCL ni vifurushi vyao vingi havina ukomo wa matumizi hii huduma ndio imenishikilia hapoImebidi nirudi kuangalia USSD menu ya TTCL kwa makini. Hawana lolote, nao ni walewale, lao moja na mitandao mingine kukandamiza wananchi.
Rates zao ni kama mitandao mingine (245MB = sh. 500, na 1GB = sh. 2,100).
Wafanye basi angalau rate iwe 300MB kwa sh. 500. Rate hii angalau itawapa nafuu wananchi. Wananchi wengi hawamudu kununua pocket Wi-Fi na 5G router kwa ajili ya vifurushi vya mwezi kutokana na hali halisi ya Tanzania.
TTCL ilitakiwa iwe mfano mzuri kwa mitandao mingine kama kampuni ya serikali yenye mamlaka ya kiuchumi na mtaji mkubwa. Lakini baadala yake imekuwa mfano wa hovyo. Vocha zake kupatikana shida, network signal inakatakata, comissions kwa mawakala hazieleweki n.k. Kifupi wafanyakazi wa serikali wanafanya kazi kwa mazoea na kutegeana. Wanajua wafanye kazi au wasifanye, mshahara mwisho wa mwezi unaingia.
Baadhi ya kampuni za serikali zimeoza.
Wazee wa UG hawa wapo vizuri sana.Mjini naona Kuna kazi kubwa kutandaza fiber. Naona ISP mpya anaingia kwa fujo zote. Nimejaribu kuulizia kwa kudhani kuwa halotel kwa zile fiber zao za orange. But ni isp mpya anaitwa Savanna fiber. Tuone atakuja na nn kipya.
Yeah ni wa UG. Tutaona market ya Tz watafanya nn. Maana wamekuja na speed sanaWazee wa UG hawa wapo vizuri sana.
Coverage unafahamu ipoje mkuu?View attachment 3227308
Yaani Hawa savanna wanakuja kuuwa market kabisa. Hata ttcl mwenyewe yupo nyuma π
Kwa Sasa naona wamejibana mjini. Ila kesho nikiona wazee wao wa field nitaulizia zaidiCoverage unafahamu ipoje mkuu?
Ushauri wako nimeufanyia kazi Comredi soon ntaleta mrejesho hapa...πππFungua chekechea home kwako, huenda ukaipata hiyo bundle π€£π€£
Mjini naona Kuna kazi kubwa kutandaza fiber. Naona ISP mpya anaingia kwa fujo zote. Nimejaribu kuulizia kwa kudhani kuwa halotel kwa zile fiber zao za orange. But ni isp mpya anaitwa Savanna fiber. Tuone atakuja na nn kipya.
hawa wanapatikana wapi aiseeeView attachment 3227308
Yaani Hawa savanna wanakuja kuuwa market kabisa. Hata ttcl mwenyewe yupo nyuma π
View attachment 3227308
Yaani Hawa savanna wanakuja kuuwa market kabisa. Hata ttcl mwenyewe yupo nyuma π
Coverage unafahamu ipoje mkuu?
Wanajazana eneo moja, kwa bei zao rahisi kufanikiwa maeneo yaliyopangika nje ya katikati ya jiji.
Hizi ndio zile za Unlimited 50K?Line za M2M kwa 12K
Habari za jioni, kuna ofa ya line za kampuni moja ya mtandao wa simu zinazoitwa M2M ambazo ni maalumu kwa ajili ya Data tu na si vinginevyo Nakusajilia popote ulipo endapo una namba ya Nida au kama ni mkazi wa Dar es Salaam tunaweza kukutana physically pia ofisi ipo karibu na kituo cha...www.jamiiforums.com
Line za M2M wakubwa karibuni
Shemela binti kiziwi mchongo huoView attachment 3227308
Yaani Hawa savanna wanakuja kuuwa market kabisa. Hata ttcl mwenyewe yupo nyuma π