Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kama unaongelea kifurushi. Hakipo 70k 25mbps ipo kwenye fiber tu
Walikua nacho pia 5G 70K unapata 10mbps.

Hata sasa hivi nimejaribu kwenye menu yao ya kawaida kipo. So hio Subsidized router itakua haiji na hicho kifurushi.
 
mambo ni fireeee bado naona internet zinazidi kushuka bei tu....mimi natumia hawa net solution fiber unlimited.....bei ilikuwa 70k 20mbps now nimetumiwa email imekuwa 20mbps 50k ....jamani endeleni kushindana izidi kushuka mpaka unlimited tununue kwa 20k,,
 

Attachments

  • Screenshot_20250304_160738_com.google.android.gm.jpg
    261.3 KB · Views: 1
Mkuu hiki kifurushi nilifanikiwa kupata laini ya community na nikaanza kujiunga na kuendelea kula maisha lakini sasa naona siku hizi wamenifutia zile mb 2521 kila nikijiunga napewa mb 985 sijui shida nini au kuna masharti nilikiuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…