Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #10,441
Weusi kama wino? Vioo vya Amoled huwa vikifa pixels ndio basi. Ingekua lcd ingeweza kupotea baadaeMkuu nje ya mada kidogo, Nina simu yangu google pixel 7 pro Ina shida ikidondoka haipasuki kioo ila inatengeneza weusi ambao unaziba screen na hii inakua inasambaa baada ya mda.
Tatizo apo litakua ni kioo Cha kubadilisha au unanishauri nini maana ukiizima kioo hakina ata a mpasuko wowote.
Ndio ni weusi kama wino yani Giza kabisa sioni kitu.Weusi kama wino? Vioo vya Amoled huwa vikifa pixels ndio basi. Ingekua lcd ingeweza kupotea baadae
Sawa mkuu, kioo chake bei yake imekaaje kwa Sasa.Mimi kwa ushauri wangu tu, hapo nunua simu nyingine kama huna hela ya kubadili kioo chake make bei imechangamka...
Simple tu kama hivyo..
Na kioo kipya bei yake imekaaje mkuu.Weusi kama wino? Vioo vya Amoled huwa vikifa pixels ndio basi. Ingekua lcd ingeweza kupotea baadae
Sema inaishangaza sana simu inaanguka kioo hakipasuki kinavuja tu wino, huenda hizi kampuni za simu zilikua na uwezo wa kutatua kabisa ili tatizo lakini ndo imeshakua biashara yao kwa mlango mwingine 😆Weusi kama wino? Vioo vya Amoled huwa vikifa pixels ndio basi. Ingekua lcd ingeweza kupotea baadae
Laki 5 na upuuzi OG, sema feki vyake naviona pia Aliexpress, check kkoo pia utapata kutegemea na feki husika.Sawa mkuu, kioo chake bei yake imekaaje kwa Sasa.
Vioo fake vina changamoto nyingi sana anaweza shangaa touch responsiveness yake ikawa ina misbehave tena au kikaja kuleta mistari tu bila sababu... Hivyo achukue kwa taadhari ajue kuna kubet kwenye fake [emoji1]Laki 5 na upuuzi OG, sema feki vyake naviona pia Aliexpress, check kkoo pia utapata kutegemea na feki husika.
Sema feki itaathiri vitu kama fingerprint na inaweza isiwe Amoled ikawa lcd.
Mkuu kibongo bongo huku mikoani kabisa sijapata kusikia kama vipo au hata mtu anatumia ile officially kwa kujiachia hata tu kusikia mtu kanunua na akaja kutupa ushahidi humu bado sijaona... Ila nmewahi skia kuhusu maeneo ya mpakani huko Namanga (Kenya & TZ) kuna wabongo wanatumia kimya kimya..
kwani haviruhusiwi Tanzania?..?Mkuu kibongo bongo huku mikoani kabisa sijapata kusikia kama vipo au hata mtu anatumia ile officially kwa kujiachia hata tu kusikia mtu kanunua na akaja kutupa ushahidi humu bado sijaona... Ila nmewahi skia kuhusu maeneo ya mpakani huko Namanga (Kenya & TZ) kuna wabongo wanatumia kimya kimya..
Mimi kwa ushauri wangu tu, hapo nunua simu nyingine kama huna hela ya kubadili kioo chake make bei imechangamka...
Simple tu kama hivyo..
nenda duka la TTCL pale posta zipo kibao mie nilinunua mwezi uliopitaWakuu naweza kupata wapi pocket wi-fi nzuri ambayo inaingia line zote. Niweke hii line yangu ya m2m
Hazina lock? Bei?nenda duka la TTCL pale posta zipo kibao mie nilinunua mwezi uliopita
Zinaingia line zote mkuu?nenda duka la TTCL pale posta zipo kibao mie nilinunua mwezi uliopita
Bei ake ikoje? Na ka picha in advance kama hutojali ndugu yetu.nenda duka la TTCL pale posta zipo kibao mie nilinunua mwezi uliopita
Hapana mkuu. Na deal na Smartbox pekeeBoss hizi pocket mi-fi za Airtel unaweza zitoa lock ikawa universal..?
Nashauri! Hiyo simu usitengeneze wauzie mafundi spares.Sawa mkuu, kioo chake bei yake imekaaje kwa Sasa.
Hazina lock mkuu zipo za elfu sabini na zipo za laki moja mkuuHazina lock? Bei?
Ndio mkuuZinaingia line zote mkuu?
Asante sana mkuu.Ndio mkuu