Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sijutii kuwatumia hawa Airtel, inaelekea mwaka wa 2 sasa.

Last month nilijiunga hiki cha 10Mbps kwa 70k, ngoja kiishe nijiunge tena nione kama hii 20Mbps itakuwa na utofauti kiviiile.

Nitawaletea feedback..


 
Ah !shukran naona leo wamenipa hiyo ofa nikasahau niliunga vipi. Na ili kuipata so unatakiwa lazima kuzimaliza ndani ya masaa 24 hizo 985 ?
Aliyenisajilia ndio aliiambia inabidi hizo 985 nizimalize ndani ya saa 24. Nikishapokea ile meseji ya umetumia 75% pale pale napokea GB 2.5 ambazo hizo natumia kwa wiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…