elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
Hiyo ni kifurushi cha voda kinaitwa ya kwako tu.Ndiyo yangu
Siyo mabro ni mobdro.voda napata 5gb mwezi siku hizi naangalia game kali kali kwenye cm yngu kupitia app ya Mabro
PoaSina uhakika mkuu, sijatumia kwa wiki kama tatu sasa
Vodacom 4G nje ya mji lakini mkoani speed hii kwa 4G ni halali....?tigo 4G ipo fasta maeneo mengi tu. hapa napata 30mbps kupanda. now natumia voda 4G ambayo unapata 40mbps na zaidi, same kwa TTCL,
hii nilichukua zamani kidogo
siku nikieka line ya Tigo 4G nitakuekea screenshot mpya, ila kama wiki nilitest speed yao walikuwa 31mbps.
halotel hapa ni 1mbps ikipanda 1.3mbps.
hii speed nzuri tu mkuu, na kwa idm inafika hadi 3MBps inamaana hio ni 24mbps sio mbaya.
coverage ya zantel ndio ya tigo, ni kampuni moja na minara ni hio hio. mpaka mikoani wana 4G zantel.Vifirushi vya chuo vya Zantel navyo naona vipo vizuri tatizo nadhani kwenye coverage, Kuna mtu amewahi tumia vifurushi vyao hivi? Ni mpaka kuwa na laini ya chuo au laini yoyote??
Aaaaaah hivi sahivi alipo tigo basi na zantel yupo ndio mambo ya kampuni moja, Naona vifurushi vyao vipo poa.coverage ya zantel ndio ya tigo, ni kampuni moja na minara ni hio hio. mpaka mikoani wana 4G zantel.
line ni mpaka iwe ya chuo na nafkiri ni ngumu sana kuzipata sijaona upenyo.
Kwa halotel ni ngapiwale wa voda angalia hii kabla haijaisha piga * 149*03#
Upo mkoa gani.Jamanu mie mboba ttcl inanizingua sana mtandao?
Nko dar ubungo mkuu. Na line nlinunua ofisini kwao posta paleUpo mkoa gani.
4G umeeka inazingua? unapata bar ngapi za signal?Nko dar ubungo mkuu. Na line nlinunua ofisini kwao posta pale
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Hapana hii line nliweka kwenye simu ya 3G. Ngoja nijaribu kwenye 4G4G umeeka inazingua? unapata bar ngapi za signal?
Kwa kuwa wateja wake wapo wachache hiyo ndio sababu kubwaMkuu TTCL ipo juu sana usifananishe na Tigo kwenye internet speed
Pole sana nilidhani upo mkoani kumbe na uko dar network nayo ni hovyo.Nko dar ubungo mkuu. Na line nlinunua ofisini kwao posta pale
Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
Una unganisha kwa sh.ngapi mr?Wakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya