Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

voda napata 5gb mwezi siku hizi naangalia game kali kali kwenye cm yngu kupitia app ya Mabro
 
tigo 4G ipo fasta maeneo mengi tu. hapa napata 30mbps kupanda. now natumia voda 4G ambayo unapata 40mbps na zaidi, same kwa TTCL,

hii nilichukua zamani kidogo
UxE7rXN.png

siku nikieka line ya Tigo 4G nitakuekea screenshot mpya, ila kama wiki nilitest speed yao walikuwa 31mbps.

halotel hapa ni 1mbps ikipanda 1.3mbps.
Vodacom 4G nje ya mji lakini mkoani speed hii kwa 4G ni halali....?
Screenshot_20171218-122828.png
 
Attachments

Vifirushi vya chuo vya Zantel navyo naona vipo vizuri tatizo nadhani kwenye coverage, Kuna mtu amewahi tumia vifurushi vyao hivi? Ni mpaka kuwa na laini ya chuo au laini yoyote??

zantel.jpg

m62Fjm
 
coverage ya zantel ndio ya tigo, ni kampuni moja na minara ni hio hio. mpaka mikoani wana 4G zantel.

line ni mpaka iwe ya chuo na nafkiri ni ngumu sana kuzipata sijaona upenyo.
 
Aaaaaah hivi sahivi alipo tigo basi na zantel yupo ndio mambo ya kampuni moja, Naona vifurushi vyao vipo poa.
 
Mi nakula bata na 5Gb kwa 2000[emoji48] [emoji48] ..nashusha mizigo hatari kuliko kusubiria night bundles ni mchosho
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Wakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya
 
Una unganisha kwa sh.ngapi mr?
 
Back
Top Bottom