Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mitandao mingi ya simu sasa hivi ni 60,000 mpaka 70,000 hapo, Halotel unapata 30mbps, Airtel ni 20mbps wengine 10mbps. Sema voda ya 115K ni 4G router yako ina 5G?
Naombeni cheapest unlimited option kwa ajira ya router yangu. Nilikuwa natumia voda ya 20Mbps kwa Tsh.1115000
NB router ni universal
Vodacom sasa wana faiba ya 5G
 
Wangapi mmeishanunua hii Router ya Halotel mlete mrejesho hapa kama ziko poa na speed yake ni nzuri au ndio tia maji tia maji kama Airtel...

Hapo naona wanaanza kuuza kwa bei ya 130k alafu baada ya hapo package utakuwa unalipia 70k kwa 30Mbps...
Sasa mkuu kosa la Airtel ni nini😀

Mbona wengine tunao mwaka wa 3 huu na maisha yanasonga!
 
Hapo speed ndo kubwa….. na ina tream 4k achana na 70k zenu hizo

Nimetoka kufanya hii speed test sasa hivi. Hiki ni kifurushi cha Airtel cha 100k. Wananipaga hizo 50 Mbps ingawa nalipia 40 Mbps kwa mwezi.

Ndio maana ninashangaa kwa nini Vodacom wanawaibia, kitu ninacholipia laki nyie mnalipia 185k.

Hata Halotel Fibre wanatoa 60 Mbps kwa 99k. Mbaya zaidi kwa hiyo 185k Savanna Fibre unapata mara 4 ya spidi na chenji inabaki.

Pia kumbuka kustream 4K unahitaji tu spidi ya 25 Mbps. Si kitu cha ajabu kwa dunia ya siku hizi.
 

Attachments

  • AISelect_20260210_142138_Instagram.jpg
    163.1 KB · Views: 38
  • AISelect_20260210_144255_Instagram~2.jpg
    145.7 KB · Views: 37
Duh! 50mbps Kwa 185k, 30 Mbps kwa 120k 🤣🤣🤣 Vodacom bhana. Wanaotumia Fibre ya Vodacom wakapimwe akili.

Au vifurushi hivi ni Dedicated?
Mitandao ya simu advantage yao wanaweka fiber maeneo ambayo hakuna competition, unakuta Tigo anaweka Bunju, Halotel Kigamboni, Voda Sinza etc. sasa hivi Savannah anawakomesha Sana.
 
Mitandao ya simu advantage yao wanaweka fiber maeneo ambayo hakuna competition, unakuta Tigo anaweka Bunju, Halotel Kigamboni, Voda Sinza etc. sasa hivi Savannah anawakomesha Sana.
🤣 Niliona Tiktok mambo anayofanya Savanna Fibre Kenya, ISPs wao hawaamini. Wana offer ya 100Mbps kwa miezi 3 bureee! Ikiisha ndio customer care wanakupigie ndio uanze malipo huo mwezi wa nne
 
Mrejesho
Niliongea na jamaa wa halotel walikuja kufunga japo kona kona zilikua nyingi kidogo.
Naitumia week ya pili sasa naona iko sawa sana aisee
 
Naombeni cheapest unlimited option kwa ajira ya router yangu. Nilikuwa natumia voda ya 20Mbps kwa Tsh.1115000
NB router ni universal
Hawa hawa Voda wana Unlimited...

10mbps kwa 60k
20mbps kwa 80k
30mbps kwa 90k

Kuna jamaa yuko Vodashop alini activatia hizi kwa laini angu ya ziada niwe natumia kwa router yangu universal... Kigezo NIDA na namba kwa ajili ya OTP na hiyo 60k ku activate laini..
 
Kwenye suala la internet bongo sijaona kama Vodacom
 
Shukrani mkuu nime activate leo cha 60k. Naendelea na majaribio ya ku drill data nione uhimilivu wake.
 
Huyo ni among of chawa wa mama achana naye.

Hajui hata kufanya cost effective analysis.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…