Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kasi yake ipoje, Haipungui baada ya siku kadhaa za matumizi hiki kifurushi cha 60k?
 
Sekta inakua kwa kasi mpaka nyaya zishaonekana kero. - nakumbuka wadau walishagusia kadhia hii humu jamvini na kutabiri hiki litakuja kua janga

data cap ni ngapi ? naona hata Yas wana hizi pakeji, sema data cap ndiyo inafichwa
 
data cap ni ngapi ? naona hata Yas wana hizi pakeji, sema data cap ndiyo inafichwa
Zote hazina data cap ni true unlimited, kuna throttling Tu unapotumia data nyingi, Tigo ni per day 20 ama 30GB ukifikisha wanashusha speed na Airtel ni per month 500GB-1TB wanashusha speed, voda na Halotel sijasikia. Fiber hazina.
 
TTCL anaanza kufanya maajabu ya dunia. Kwa mujibu wa website 55k inaanza na 60mbps uchawi ni kuwa nyuma kuwaunganisha wateja na bureaucracy nyingi sana. Vifurushi vitakuwa hivi
55,000-60mbps
100mbps hawajaweka bei Lkn Nafikiri itakuwa kwenye 70,000-80,000
100,000-150mbps
150,000-200mbps
200,000-250mbps
 
Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Walahi nitafunga hiyo ya 150Mbps hata kesho. Watanikoma huko ofisini kwao.
 
Siku hizi Wana vifurushi vya 3 in one pia, ukifunga fiber wanakupa na simu ya mezani na GB za kutosha kwenye line ya simu. Mi pia nawafikiria
Mimi walinishauri hili nikawakatalia. Net ya ttcl ya kutafuta sana. Nimeona bora niunge fiber tu package ya 55k. Ila pia nimeona kwa 70k unapewa 100mbps na sim ya mezani sasa siju wataengeza gbs kwenye secondary line au vp mana hawajaweka hio info
 
Mtandao wao unakufa wasipojiongeza kama hivi tutausahau.

GB za bure hata kama zipo slow zinasaidia mkuu, pia hawa si Wana roam Tigo/Airtel 3G kama sijakosea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…