Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Line unapewa ili uweke kwenye simu, fiber hazina line, so nyumbani unatumia fiber na mtaani unapewa line ya kuzugia ambayo wanakupa GB, SMS na dakika za bure kila mwezi.
Issue ya Speed Vipi??? For me naona hata ukipa Terabyte 100 kama hakuna speed nitakuhama tuu TTCL wako rigid sana na Technology mpaka sasa ni mtandao pekee ambao hauna huduma ya 5G kwa sasa lakini pia kuna kitu kinaitwa ESIM hawa jamaa hawana nitakua mtu wa mwisho kutumia huu mtandao nimeizoea sana Vodacom!
 
Fiber haina neno, kokote ina speed, hizo line ukague Tu mwenyewe Eneo lako, ila TTCL Wana Roam mitandao mingine, kwa uelewa wangu hawana kabisa 3G huwa wanachukua mitandao mingine, kama 3G ya Voda ama Airtel ipo vizuri kwako it's possible kuitumia hio Kupata speed nzuri.
 
kwenye vya miezi sita na mwaka pale kwenye website yao mbona kama wananichanganya? au 60mbps kuipata mpaka ulipie kila mwezi ?
 
Mkuu unawaponda sana mpaka unaenda off target sasa😂

Kuhusu 5G sina uhakika kama hawana, ila nilicho na uhakika ni kwamba TTCL wana eSIM Service toka zamani tu, na mimi nina line yao na nimeunga kwa eSIM
 
Mkuu unawaponda sana mpaka unaenda off target sasa😂

Kuhusu 5G sina uhakika kama hawana, ila nilicho na uhakika ni kwamba TTCL wana eSIM Service toka zamani tu, na mimi nina line yao na nimeunga kwa eSIM
View attachment 3559995
Taangu October waliniambia hudumu ina changamoto imesitishwa tafadhari kwa kuwa wewe una line ya TTCL piga number 100 huduma kwa wateja uulize kama wanayo na juzi kati nimeenda TTCL shop yao Samora wakaniambia bado huduma haijarudi mpaka sasa nina Vodacom, Airtel, Halotel na Yas
 
Ni kweli huduma ya E-sim waliisitisha kwa muda watatujulisha baadae ikianza tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…