Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #10,981
Router nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.Kwa ushauri mkuu router Gani nzuri namaanisha hizi za kubeba mfukoni na malipo kwa mwezi yanacheza kwenye sh ngapi maana nimechoshwa na hivi vifurushi vya kupimiwa
Mkuu hii ni kwa ajili ya home) office namaanisha zile mdogo za mfukoni?Router nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.
iNine9 anajua model zinazotoka lock, ila ukipata Ile ya zamani ambayo imekaa na angle Kali ni nzuri zaidi, muonekano kama huu
View attachment 3576249
🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?Router nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.
iNine9 anajua model zinazotoka lock, ila ukipata Ile ya zamani ambayo imekaa na angle Kali ni nzuri zaidi, muonekano kama huu
View attachment 3576249
12.5 MB/s ni kasi kubwa hiiMkuu hajagawa kwa 8 kwa bahati mbaya, yaani kwa hesabu rahisi iko hivi..
1 MBps/MB (Megabyte) ni sawa sawa na 8 Mbps (Megabits) hizi ni zile standards za kimataifa (SI Units) na angalia hapo moja inaishia na byte nyingine bits
So 20Mbps ukigawa kwa 8 ndo unapata hiyo 2.5MBps
Hii Megabyte inatumiwa sana na vifaa vinavyotumia internet na hiyo Megabits inatumiwa sana na ISP (Mtoa huduma ya internet), Switch Ports na nyaya zinazo safirisha data ya internet, ISPs wanaitumia sana kama sehemu pia ya mkakati wa biashara yaani mtu akiskia 100Mbps anaona nyingi sana kumbe ki uhalisia ukiwa una download kitu online na ukawa unaifikia kabisa hiyo speed ya 100Mbps unapata 12.5 MB/s tu.
Nasikia kuna muda wakiona unatumia GBs nyingi sana wanakuwa wanakupunguzia speed ya internet ili usiendelee zaidi🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?
🔹 Kama kweli ni unlimited mbona garama za fifurushi vya kawaida Bei imekuwa kubwa? internet ya rauter wao wanaipata wapi?
Kama hivyo kwa hiyo 70,000 labda Kuna kiwango Cha mwisho Cha Gb wamekitenga. Ndio nataka kukijua hicho ili nilinganidhe na vifurushiNasikia kuna muda wakiona unatumia GBs nyingi sana wanakuwa wanakupunguzia speed ya internet ili usiendelee zaidi
Katika hilo mimi sijui, sema search humu jukwaani kuna members washawahi kutolea ufafanuzi wa haya mambo. Utapata jibuKama hivyo kwa hiyo 70,000 labda Kuna kiwango Cha mwisho Cha Gb wamekitenga. Ndio nataka kukijua hicho ili nilinganidhe na vifurushi
ThanksKatika hilo mimi sijui, sema search humu jukwaani kuna members washawahi kutolea ufafanuzi wa haya mambo. Utapata jibu
Rudi nyuma kuanzia page ya 500 utapata majibu mengi ya maswali yako...🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?
🔹 Kama kweli ni unlimited mbona garama za fifurushi vya kawaida Bei imekuwa kubwa? internet ya rauter wao wanaipata wapi?
Asante ngoja nitafuteRudi nyuma kuanzia page ya 500 utapata majibu mengi ya maswali yako...
Airtel wanapunguza speed ukifikisha GB 500 ukitaka True unlimited Funga Fiber ..Kama hivyo kwa hiyo 70,000 labda Kuna kiwango Cha mwisho Cha Gb wamekitenga. Ndio nataka kukijua hicho ili nilinganidhe na vifurushi
Fibber ya TTCL tuu, wengine wenye huduma ya fibber nao wanaminya, na fibber ni stationary huwezi kulihamisha ila rauter inawezekana kuhamishaAirtel wanapunguza speed ukifikisha GB 500 ukitaka True unlimited Funga Fiber ..
HAta hio ina power bank mkuu, ni movable, huwa tunazibeba assume Una Gari etc.Mkuu hii ni kwa ajili ya home) office namaanisha zile mdogo za mfukoni?
Sijawahi sikia fiber inayominya speed.Fibber ya TTCL tuu, wengine wenye huduma ya fibber nao wanaminya, na fibber ni stationary huwezi kulihamisha ila rauter inawezekana kuhamisha
Ni unlimited data, hata ukimaliza hizo GB 500-1000 wanazokupa still unatumia bure ila kwa speed ndogo.🔹Hivi ni kweli unlimited data au Kwa malipo ya 70,000 labla wanaweka GB kiasi Fulani halafu wanacheza na kuiminya spidi kafiri Matumizi yanavyokngezeka?
Huo ni mpango wa Serikali, miaka kadhaa iliopita unlimited zilikuwepo kila mtandao kwa bei rahisi mno, Halotel Royal bundle 10,000 kwa mwezi, Tigo lite package 9000 kwa mwezi, Airtel walikua na unlimited Hadi sh 200 kwa siku, it's just speed ilikua ni ndogo Ila ni unlimited.🔹 Kama kweli ni unlimited mbona garama za fifurushi vya kawaida Bei imekuwa kubwa? internet ya rauter wao wanaipata wapi?
Duh maelezo ya kitaalamu, yamenyooka kwa lugha rahisi. Kesho nawahi Airtel. Nilikuwa nanunua GB 7 za tigo kwa 10,000 hazikai siku 3 Sasa nimempata mkomboziNi unlimited data, hata ukimaliza hizo GB 500-1000 wanazokupa still unatumia bure ila kwa speed ndogo.
Huo ni mpango wa Serikali, miaka kadhaa iliopita unlimited zilikuwepo kila mtandao kwa bei rahisi mno, Halotel Royal bundle 10,000 kwa mwezi, Tigo lite package 9000 kwa mwezi, Airtel walikua na unlimited Hadi sh 200 kwa siku, it's just speed ilikua ni ndogo Ila ni unlimited.
Unachotakiwa kuelewa mtandao wa simu wao nao wananunua internet kwa Makampuni makubwa ya chini ya bahari kama 2Africa, wao huuziwa capacity sio GB so wanalinda hio capacity kwa either kukulimit GB unazotumia ama kukupa unlimited kwa limited speed.
Ni kijana wangu huyo nimemfundishaDuh maelezo ya kitaalamu, yamenyooka kwa lugha rahisi. Kesho nawahi Airtel. Nilikuwa nanunua GB 7 za tigo kwa 10,000 hazikai siku 3 Sasa nimempata mkombozi
Sio unaskia, ndo uhalisia wenyewe mkuu tunao upitia.... Real Unlimited Internet ni aina mbili tu hapa TZ angalau zina jitahidi..Nasikia kuna muda wakiona unatumia GBs nyingi sana wanakuwa wanakupunguzia speed ya internet ili usiendelee zaidi
Hata mimi sijawahi kusikia fiber kuna capping, labda kukata kata kwa mtandao tu ndiyo tatizo sugu kwao na kila fiber company wana hili tatizo la internet outage for some hours au days na TTCL ndo kinara wa hili tatizo..Sijawahi sikia fiber inayominya speed.