Hii ni ZLT X28, zikatoka lock na ni adimu sana kuzipata siku hizi na walio nazo wengi hawataki kuziuza sababu nzuri hata mtandao hazi sumbui sana..Router nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.
iNine9 anajua model zinazotoka lock, ila ukipata Ile ya zamani ambayo imekaa na angle Kali ni nzuri zaidi, muonekano kama huu
View attachment 3576249
Kwenye menu yao au ndo ile una activate kwenye laini yako unakua unajiunga? Kama ni hiyo ya kuwezeshewa vifurushi vya 5G kwenye laini yako ya kawaida na utumie kwa Router yako hata VODACOM wanayo, hata Halotel kile kifurushi cha 50k unapata GB 24 za kasi baada ya hapo unatumia unlimited kwa speed ndogo...Tigo wana unlimited bila router
Mkuu hii ni unlimited kabisaKwenye menu yao au ndo ile una activate kwenye laini yako unakua unajiunga? Kama ni hiyo ya kuwezeshewa vifurushi vya 5G kwenye laini yako ya kawaida na utumie kwa Router yako hata VODACOM wanayo, hata Halotel kile kifurushi cha 50k unapata GB 24 za kasi baada ya hapo unatumia unlimited kwa speed ndogo...
Shida mkuu sio kua na hizi huduma, shida kubwa sio UNLIMITED kabisa ya bandwidth na SPEED mpaka muda wako uishe ni zina kipimo cha GB za kasi na baada ya hizo GB za kasi kuisha basi unaanza kuteseka na speed sasa....
Yup! Hata mimi natumia unlimited ya Yas kwenye simu. Hawakupimii kiwango.Mkuu hii ni unlimited kabisa
Unaipata kwa menu ipi?.Yup! Hata mimi natumia unlimited ya Yas kwenye simu. Hawakupimii kiwango.
Ndiyo hivi vinavyopatikana kwa menu ya kawaida?.Mkuu hii ni unlimited kabisa
Nenda kwenye duka la yas wanakuunga au mtafute faraja zungu anakuunganishaNdiyo hivi vinavyopatikana kwa menu ya kawaida?.View attachment 3577727
Ipoje hii sh ngapi fafanua zaidiTigo wana unlimited bila router
Inaweza kucheza kwenye Mbps ngapi baada ya kushuka?Router yako hata VODACOM wanayo, hata Halotel kile kifurushi cha 50k unapata GB 24 za kasi baada ya hapo unatumia unlimited kwa speed ndogo...
baada ya hizo GB za kasi kuisha basi unaanza kuteseka na speed sasa....
Hii ni ZLT X28, zikatoka lock na ni adimu sana kuzipata siku hizi na walio nazo wengi hawataki kuziuza sababu nzuri hata mtandao hazi sumbui sana..
Elfu 70 unapata unlimited dataIpoje hii sh ngapi fafanua zaidi
Cheif, hivi kuna mafundi wa kurekebisha hizi router? yakwangu zlt x25 imepiga shoti pamoja power bank yakeRouter nzuri ni hizi za Airtel mkuu za 5G unaichakachua iingie line zote, itakua nzito kubeba ila speed haina mpinzani compare na hizi router za mtaani.
iNine9 anajua model zinazotoka lock, ila ukipata Ile ya zamani ambayo imekaa na angle Kali ni nzuri zaidi, muonekano kama huu
View attachment 3576249
Mwl, kuna mafundi wa kurekebisha hizi router za airlet, yangu imepiga shoti, haiwakiView attachment 3581649
Nitafute simcard ya mtandao upi?
Gharama ni zipi kwa speed ipi? kwa mwezi?
Muda niliotumia Airtel unatosha nahitaji kujaribu Mtandao Mwingine. Nipe maoni yako.
Imepiga shoti router ama adapter yake? Kama ni adapter/powerbank vinabadilishika, kama ni zaidi ya hapo nenda kwa fundi kama wa simu aicheki.Cheif, hivi kuna mafundi wa kurekebisha hizi router? yakwangu zlt x25 imepiga shoti pamoja power bank yake
zimepiga shoto zote, router pamoja na powerbank yake. airtel wanasema hawana hizo router model za zamani hawauzi tena so haiwezekani kufanya replacementImepiga shoti router ama adapter yake? Kama ni adapter/powerbank vinabadilishika, kama ni zaidi ya hapo nenda kwa fundi kama wa simu aicheki.
Jaribu kwa fundi simu mkuu, kama body ya power supply ni Tofauti na main board ni rahisi kufanya Tu replacement ya hicho kibao maisha yakaendelea. Sema usispend Tu Sana mtaani hizo Hadi 40K zipozimepiga shoto zote, router pamoja na powerbank yake. airtel wanasema hawana hizo router model za zamani hawauzi tena so haiwezekani kufanya replacement
Nadhani vd huenda ikanifaa. ( kwa zaidi ya miaka 5 sasa sijawahi itumia voda kwa maswala ya interent)Nitafute simcard ya mtandao upi?
Gharama ni zipi kwa speed ipi? kwa mwezi?