Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #11,141
Mbeya komaa na TTCL si Wana fiber huko?Nawaza lini watafika mbaya😂🙌🏾
Ndio, mbeya TTCl na Halotel wana fiberMbeya komaa na TTCL si Wana fiber huko?
Sawa mkuu..Mbeya komaa na TTCL si Wana fiber huko?
Naam nimeona nyaya ni za orange maeneo ya town wamefunga..Wanatumia waya Za orange, hao wakija hata sio tabu kuwajua.
YAS wamenizingua aisee. Inabidi niwasubiri TTCL tu japo wana ahadi hewa. Leo nilitaka kulipia Airtel ila nikashangaa Router inatoa moshi. Hii ni router ya pili ya ODU ya Airtel inaungua, mbaya zaidi nimeiconnect na TV guard.Naam nimeona nyaya ni za orange maeneo ya town wamefunga..
Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀YAS wamenizingua aisee. Inabidi niwasubiri TTCL tu japo wana ahadi hewa. Leo nilitaka kulipia Airtel ila nikashangaa Router inatoa moshi. Hii ni router ya pili ya ODU ya Airtel inaungua, mbaya zaidi nimeiconnect na TV guard.
Unatumia hizi ODU? Kama sio ODU basi hizo za nyuma zilikuwa safi. Hizi ODU kuanzia mwaka jana hadi sasa yameshakuja matoleo mengi tofauti.Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀
Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.
Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.
Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄
Kaka punguza fix basii.
Thread 'Airtel Tanzania, 5G Router zenu ni mbovu. Madukani tukileta mnasema zimeisha. Really?'Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀
Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.
Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.
Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄
Kaka punguza fix basii.
Pole mkuu 😂 moshi tena? Skia iliyoungua sini modem tu ile SmartConnect? Kama ni hiyo sidhani kama umeme umefika kwenye router yenyewe maana ZLT X17U inawashwa na PoE (Power Over Ethernet) ule waya mweupe.. Hebu change modem weka hata Access Point Router nyingine kama unayo, hakikisha hiyo access point inatoa umeme kwa PoE na same current ni 12v kuiwasha ZLT X17UYAS wamenizingua aisee. Inabidi niwasubiri TTCL tu japo wana ahadi hewa. Leo nilitaka kulipia Airtel ila nikashangaa Router inatoa moshi. Hii ni router ya pili ya ODU ya Airtel inaungua, mbaya zaidi nimeiconnect na TV guard.
Hata mimi natumia ODU toka mwaka huu haijawahi zingua ki technical mbali na FUP tu na nilipo umeme unasumbua sana miezi 2 hii kukata na kurudi na sina guard nilipoiweka tofauti na vifaa vingine...Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀
Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.
Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.
Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄
Kaka punguza fix basii.
Nimekwazika sana, nliiweka pembeni Airtel kusubiri TTCL na YAS. TTCL wanasema ni kweli miundombinu ipo ila internet haijawashwa. YAS wao wanasema upande mimi nipo bado hawajapota, sehemu wao walipopita na mimi nilipo hazizidi mita 200.Pole mkuu 😂 moshi tena? Skia iliyoungua sini modem tu ile SmartConnect? Kama ni hiyo sidhani kama umeme umefika kwenye router yenyewe maana ZLT X17U inawashwa na PoE (Power Over Ethernet) ule waya mweupe.. Hebu change modem weka hata Access Point Router nyingine kama unayo, hakikisha hiyo access point inatoa umeme kwa PoE na same current ni 12v kuiwasha ZLT X17U
HahahahaaaaWewe jamaa ni last born kwenu?
Kila siku unauliza swali hilohilo? Huna maamuzi licha ya watu kukuelekeza kila siku, ndio maana wameona wakaushe sasa.
Jitambue basi, kuwa Gentleman.
Pole sana Mkuu ila kama TTCL utaipata wako poa sana na speed yao iko vizuri tatizo lao ni kuingia kwenye IP Adress tu...Nimekwazika sana, nliiweka pembeni Airtel kusubiri TTCL na YAS. TTCL wanasema ni kweli miundombinu ipo ila internet haijawashwa. YAS wao wanasema upande mimi nipo bado hawajapota, sehemu wao walipopita na mimi nilipo hazizidi mita 200.
Muda huu nimetoka Airtel shop wametazama wamesema imeungua so wanaandikisha ili ibadilishwe. Imebidi tu nirudi Airtel sababu uwezekano wa kuipata fiber ndani ya wiki moja au mbili siuoni.
Hapo Airtel hizo ODU ya kwangu ni ya 4, mmoja niliyemkuta amesema ametumia siku nne tu internet imekata. Nimewaacha wanamsoundisha achukue vile viportable vya 4G.
NA kweli kuna mtu nilinunua nae router ya Airtel na mpaka leo bado anaitumia yake na anasema haina shida yoyote....Mkuu kwa kuwaponda Airtel haujambo😀
Mimi na wenzangu kama 5 hivi tunamiliki hizi router toka 2023 mwezi wa 10.
Mpaka leo hakuna aliyepata changamoto na router yake, sana sana ni adapter ndizo zinakufa na replacement yake ulienda Airtel Shops wanakupa bureee. Au unaweza kutumia yeyote, hata za ving'amuzi maana zinaingiliana.
Sasa cha kushangaza eti wewe umeshaunguliwa na router 2 mpaka sasa, tena hiyo ya leo imeungua the moment ulipotaka kulipia😄
Kaka punguza fix basii.
Savannah server yao iko kenya!kama nchi inabidi tujitathmini sanaView attachment 3605370
Savannah kifurushi cha 100mbps speed mpya.
Sasa hivi Mambo yanaanza kukaa vizuri, Soon na Sisi tutaingia ulimwengu wa Gigabit.
Hio ni server ya Netflix mkuu, website ya Fast.com inapima speed kwa kutumia netflix, ndio wamiliki wa hio website.Savannah server yao iko kenya!kama nchi inabidi tujitathmini sana
Server ikiwa nje ya nchi internet yao inakuwa haipo chini ya TCRA? Yale ya October 29 yalikuwa ya kipuuzi sana kuzima internet.Savannah server yao iko kenya!kama nchi inabidi tujitathmini sana
Jamaa mmoja yupo kinondon ametumia inteenet nyingi hizi fiber na router. Anasema Savanna ni first choice kwake kwa reliable, stable and speed.View attachment 3605370
Savannah kifurushi cha 100mbps speed mpya.
Sasa hivi Mambo yanaanza kukaa vizuri, Soon na Sisi tutaingia ulimwengu wa Gigabit.