Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Vizuri sana mkuuHio ni server ya Netflix mkuu, website ya Fast.com inapima speed kwa kutumia netflix, ndio wamiliki wa hio website.
Ukitumia speedtest.net wanatumia server ya karibu most of time za hapa Dar.
Routers za Airtel hazina shida hata sema tu tatizo watu wanashindwa kuelewa vitu vidogo vya kuset ili isisumbue, yaani hawajazijulia dawa yake... Ila ukijua basi labda ubaki kuwalaumu kwenye FUP tu ila sio mtandao au speed.. wabongo wengi tumezoea mambo ya plug 🔌 & play basi kama zile modem za 3G 😄 huku kwenye 4G na 5G unahitaji ku tweak na ku adjust some settings kupata kile unachotaka..NA kweli kuna mtu nilinunua nae router ya Airtel na mpaka leo bado anaitumia yake na anasema haina shida yoyote....
Ios ngapi? Ios za zamani zinatoka ila mpya ni ngumu.Wakuu wa jukwaa ili wenye kufahamu mambo za computer naomba msaada wenu, kunauwezekano wa kutoa activation lock kwa iPad? If YES naomba muongozo nifanye vipi maana limegeuka kuwa kopo baada ya kurest bila kufuta icloud ya previous user .
Ni ya muda hii sikumbuki vzuri ila ni kama12.5.7 unaweza nisaidia kwa model hii?Ios ngapi? Ios za zamani zinatoka ila mpya ni ngumu.
12 inatoka, tafuta fundi wa network yoyote mwenye vifaa atakutolea, mafundi watakuja.Ni ya muda hii sikumbuki vzuri ila ni kama12.5.7 unaweza nisaidia kwa model hii?
Mtu mzuri wa hii aliepo iringa please anichek, nitatue hii changamoto12 inatoka, tafuta fundi wa network yoyote mwenye vifaa atakutolea, mafundi watakuja.
Chief-Mkwawa kwa makadilio yako hii kazi yaweza cost kama tsh ngapi kuna kijana mmoja anasema anaweza nisaidia ila bei zake kama simuelewi hivi12 inatoka, tafuta fundi wa network yoyote mwenye vifaa atakutolea, mafundi watakuja.
Sina uhakika mkuu inategemea na service anayotumia, ila usihangaikie Sana iPad ya iOS 12 hizo thamani yake ni ndogo.Chief-Mkwawa kwa makadilio yako hii kazi yaweza cost kama tsh ngapi kuna kijana mmoja anasema anaweza nisaidia ila bei zake kama simuelewi hivi
Hiyo ni sawa na ngapi MB/s?
Naungana na huyo jamaa ako anaesema hivyo....Jamaa mmoja yupo kinondon ametumia inteenet nyingi hizi fiber na router. Anasema Savanna ni first choice kwake kwa reliable, stable and speed.
mkuu salaam kwako. ipi iptv bora zaidi ya wakatv? maana cfanncls za azam sports zinagoma.Sina uhakika mkuu inategemea na service anayotumia, ila usihangaikie Sana iPad ya iOS 12 hizo thamani yake ni ndogo.
Kuna maujanja tunapata double speed.....nikisema tu hapa nitaikuta washatow Siri fb na TikTok Wacha tule kimya kimya😁😁😁😁😁
Kwamba kwa laki unapata 400mbps?Kuna maujanja tunapata double speed.....nikisema tu hapa nitaikuta washatow Siri fb na TikTok Wacha tule kimya kimya😁😁😁😁😁
Ak47sports.mkuu salaam kwako. ipi iptv bora zaidi ya wakatv? maana cfanncls za azam sports zinagoma.
hii na wakatv inakuwa na tofauti gani? nawezaa pata channels nyingi kama waka.Ak47sports.
Siijui waka, hio ina Chanell zote ulizosema unataka.hii na wakatv inakuwa na tofauti gani? nawezaa pata channels nyingi kama waka.
lakini mkuu nimcpafupa c channels za azamsports sizioni. je, ziko sehemu gani′?Siijui waka, hio ina Chanell zote ulizosema unataka.
lakini mkuu nimcpafupa c channels za azamsports sizioni. je, ziko sehemu gani′?