Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Pm meMkuu post [HASHTAG]#618[/HASHTAG] ya tarehe 23/7 ndo nlitoa tangazo.
Na post na 632,640 na 641 zinaeleza mnafaikaji wa kwanza ni Chief Mkwawa ambae alipata huduma hii na akalipa vizur bila shida.
Lakin baada ya hapo niliwahudumia watu kibao wengine wanalipa wengine wanazingua tu hawatoi pesa
Mwezi..! Acha masihala mkuuMwezi
Yes ila hata ukikmaliza kwa sku waunga tenaMwezi..! Acha masihala mkuu
*149*42# au *149*02#Anayejua menu ya uni offer kwa vodacom a niwekee apa plz
Hii ni kwa voda auDuuuh kwa hali hii bora niendelee na kifurushi changu cha Chuo...
View attachment 664735
Ndio mkuuHii ni kwa voda au
Mtandao gani mkuu
Vodacom ya kwake tu!!!Mtandao gani mkuu
hivyo vinavyojirudia kila mwezi vinakuwa ni vifurushi vya kununua simu, vipo halotel, voda, tigo etc. unaponunua simu ya mtandao wanakupa hizo zawadi.KUNA KIFURUSHI CHA VODA UNAPATA 10GB KILA MWEZ
KWA MIEZI MITATU.... KUNA MTU ANAJUA HAYA MAUJANJA
hivyo vinavyojirudia kila mwezi vinakuwa ni vifurushi vya kununua simu, vipo halotel, voda, tigo etc. unaponunua simu ya mtandao wanakupa hizo zawadi.
sema kuna watu wanafanya magumashi unavipata kawaida
vya voda?yah kuna jamaa anaunganisha
hapa nilipo kwa elfu 5
unaweza kunifanyia mpango?yap mkuu
Mbona kuna uni ofa 2500Tzs 2GB & 2GB usikuunaweza kunifanyia mpango?
Tuma namba na jina tunakuunganisha na ofa za chuo vodacom. Piga *149*02# kuona bando ktk ofa hii.Mbona kuna uni ofa 2500Tzs 2GB & 2GB usiku
Huko unakotaka kwenda wanapima vipi kwa bei gani