Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mkuu post [HASHTAG]#618[/HASHTAG] ya tarehe 23/7 ndo nlitoa tangazo.
Na post na 632,640 na 641 zinaeleza mnafaikaji wa kwanza ni Chief Mkwawa ambae alipata huduma hii na akalipa vizur bila shida.
Lakin baada ya hapo niliwahudumia watu kibao wengine wanalipa wengine wanazingua tu hawatoi pesa
Pm me
 
Duuuh kwa hali hii bora niendelee na kifurushi changu cha Chuo...
20171231_194447.png
 
KUNA KIFURUSHI CHA VODA UNAPATA 10GB KILA MWEZ
KWA MIEZI MITATU.... KUNA MTU ANAJUA HAYA MAUJANJA
hivyo vinavyojirudia kila mwezi vinakuwa ni vifurushi vya kununua simu, vipo halotel, voda, tigo etc. unaponunua simu ya mtandao wanakupa hizo zawadi.

sema kuna watu wanafanya magumashi unavipata kawaida
 
yah kuna jamaa anaunganisha
hapa nilipo kwa elfu 5
 
Back
Top Bottom