Shaffin Simbamwene
JF-Expert Member
- Nov 16, 2008
- 2,156
- 1,535
Pm meMkuu post [HASHTAG]#618[/HASHTAG] ya tarehe 23/7 ndo nlitoa tangazo.
Na post na 632,640 na 641 zinaeleza mnafaikaji wa kwanza ni Chief Mkwawa ambae alipata huduma hii na akalipa vizur bila shida.
Lakin baada ya hapo niliwahudumia watu kibao wengine wanalipa wengine wanazingua tu hawatoi pesa