Kuuliza si ujinga. Hisense tv nje ya fawa news(au links kwa ujumla) mtu afanye nini ili kuweza kuangalia mechi za ulaya? Je kuna app yoyote for that? Kuna iptv pia inaweza kufanya hayo yote?View attachment 3611471
Kwenye sports hapo utazikuta, sema nimezitest zipo offline kwa sasa, ila mechi za WC walikua wanaonesha siku kadhaa kupitia Hizo Chanell.
Hisense TV mbali na kutumia browser kustream kwa link, option nzuri zaidi nunua tu Android USB Stick au Android Box ili utumie kama king'amuzi kupata ile Android Experience.. Hizi Android Box ziko zimejaa budget 100k - 150k unapata nzuri tu...Kuuliza si ujinga. Hisense tv nje ya fawa news(au links kwa ujumla) mtu afanye nini ili kuweza kuangalia mechi za ulaya? Je kuna app yoyote for that? Kuna iptv pia inaweza kufanya hayo yote?
Sante sana kwa maelezoHisense TV mbali na kutumia browser kustream kwa link, option nzuri zaidi nunua tu Android USB Stick au Android Box ili utumie kama king'amuzi kupata ile Android Experience.. Hizi Android Box ziko zimejaa budget 100k - 150k unapata nzuri tu...
Otherwise Chief-Mkwawa akupe solution ya ku side load IPTV Kwa App ya Stremio maana iko supported now kwa Hisense japokua walii release kama majaribio, mi huwa naitumia kwa kustream movies tu..
Unaweza sideload kuna app inaitwa Lampa tunatumia kuangalizia movies na baadhi ya IPTV na zipo IPTV players nyengine ambazo unaprovide mwenyewe IPTV links.Kuuliza si ujinga. Hisense tv nje ya fawa news(au links kwa ujumla) mtu afanye nini ili kuweza kuangalia mechi za ulaya? Je kuna app yoyote for that? Kuna iptv pia inaweza kufanya hayo yote?
Fiber ya kampuni gani hii?
Mkuu ni wifi ? Inaunganisha watu wangapi?Sema TTCL wako vizuri sana hicho ni cha 55000 tuombe tu huko mbele wasibadilike
mkuu unatumia iptv gani? unaizungumziaje waka tv"Hisense TV mbali na kutumia browser kustream kwa link, option nzuri zaidi nunua tu Android USB Stick au Android Box ili utumie kama king'amuzi kupata ile Android Experience.. Hizi Android Box ziko zimejaa budget 100k - 150k unapata nzuri tu...
Otherwise Chief-Mkwawa akupe solution ya ku side load IPTV Kwa App ya Stremio maana iko supported now kwa Hisense japokua walii release kama majaribio, mi huwa naitumia kwa kustream movies tu..
baki na TV uliyo nayoKuuliza si ujinga. Hisense tv nje ya fawa news(au links kwa ujumla) mtu afanye nini ili kuweza kuangalia mechi za ulaya? Je kuna app yoyote for that? Kuna iptv pia inaweza kufanya hayo yote?
Tuwekee picha basi.
1. natumia mwezi wa tatu sasa sijapata changamoto japo nimei-modify ikae juu kwenye mstimuWataalamu kuna aliyewahi nunua router za halotel 5G,vipi consistency ya huduma, inakaa na charge muda gani?, ni model gani ya router? Na kingine je model yake inakubali kuifanya iwe universal in case wamezingua
Shukrani sana
Picha zipo kwenye neno "hii" gusa hapoTuwekee picha basi.
Shukrani chief1. natumia mwezi wa tatu sasa sijapata changamoto japo nimei-modify ikae juu kwenye mstimu
2. kukaa na chaji ni masaa 3-6 (kutegemea na joto), kama unatumia power bank zile za airtel
3. model ni H153-381, kuna mtu youtube anazichakachua
Nasubiri Airtel ya 70k iishe nichukue TTCL ya 55k. Nimetenga na 10k ya fundi.Sema TTCL wako vizuri sana hicho ni cha 55000 tuombe tu huko mbele wasibadilike
Ni bure unalipia kifurushi tu.Nasubiri Airtel ya 70k iishe nichukue TTCL ya 55k.Nimetenga na 10k ya fundi.
Sawa mkuu, naona wanapiga simu kweli kweli.Ni bure unalipia kifurushi tu.
Kuna mdau alisema wana FUP pia, kwa 70k bandwidth capping ipo kwenye GB 600 kama Airtel tu..Wataalamu kuna aliyewahi nunua router za halotel 5G,vipi consistency ya huduma, inakaa na charge muda gani?, ni model gani ya router? Na kingine je model yake inakubali kuifanya iwe universal in case wamezingua