Ni ODU au zile za zamani? Tuma picha ya dashboardHabali mkuu nisaidie namna ya kuset ndo kwanza ina mwenzi
Ni hizi mpya 5g picha imenishinda kupiga na kuweka humuNi ODU au zile za zamani? Tuma picha ya dashboard
Nilidhani ni Mimi pekee yangu , Nilinunua Cha 5k wakanipa gb 6 hata kimekata ndani ya week nikachukua Cha 10k 13gb ndani ya 13 days zimebaki 4gb mbaya zaidi hi simu ni h+ social media kwa mbali Sana huko nyuma Hali haikuwa hivi kabisa *matumizi ni hotspot kwa pc (Ubuntu 40min/day)Wakuu habari?
Hivi vifurushi vya halotel m2m mnavielewa siku hizi. Juzi tu Alhamisi saa 8 za mchana nilijiunga bando la wiki zile gb 4 katika matumizi yangu nimetumia kama zimefika ni gb 2 tu jana asubuhi eti bando limeisha na hii haikuishia hapo tu hata huko nyuma nilijiunga bando la gb 18 kama mara 3 hivi linakata kimazingaombwe na kibaya zaidi nikijaribu kuuliza salio sms haitumwi nikajua zimebaki na gb ngapi kwa bando langu?? HIVI WADAU HII IMEKAAJE NI KWANGU MIMI TU NAPITIA CHANGAMOTO HII AU NA WENZANGU MPO?
Ni mtandao tu mkuu, mimi nina siku kama 2 au 3 speed imeshuka ila good news kwangu bundle limeisha leo, within this week navuta TTCL fibre.Wale wa Airtel 5G Routers, kuna mwingine anayepitia hii speed ama ni mimi tu, download speed iko chini sana kwa masaa zaidi ya 3 sasa.
Nimepiga simu wakaniambia kifaa changu hakina tatizo lolote. Data Cap haiwezi ikawa tatizo maana nimejiunga tarehe 5 July na mpaka sasa nimetumia 200GB tu.
View attachment 3628059
Kwangu haikuwa mtandao mkuu, ikiwa mtandao ningejua, hapo kuna mbusii ilinitupia kwenye kapu nisilohusika maana nimelipia miezi 6.Ni mtandao tu mkuu, mimi nina siku kama 2 au 3 speed imeshuka ila good news kwangu bundle limeisha leo, within this week navuta TTCL fibre.
Kweli kuna mhuni alizingua hapo.Kwangu haikuwa mtandao mkuu, ikiwa mtandao ningejua, hapo kuna mbusii ilinitupia kwenye kapu nisilohusika maana nimelipia miezi 6.
View attachment 3628767
Niliwapigia na baada ya muda speed ikarudi kawaida.
View attachment 3628817
Wale wa Airtel 5G Routers, kuna mwingine anayepitia hii speed ama ni mimi tu, download speed iko chini sana kwa masaa zaidi ya 3 sasa.
Nimepiga simu wakaniambia kifaa changu hakina tatizo lolote. Data Cap haiwezi ikawa tatizo maana nimejiunga tarehe 5 July na mpaka sasa nimetumia 200GB tu.
View attachment 3628059
Kuna kipindi Halotel walikua na ping ya maana, hapo sio upload speed Tu hata ping ya 60 sio nzuri kama unafanya KAZI za real time.Jana nilibahatika kukutana na mwenye router ya Halotel 5G. Kwa nilichokiona Halotel wanakupa Download Speed ambayo haiko sawa na Upload Speed.
Upande wa Airtel, wanakupa Speed sawa sawa kwa Download na Upload.
Halotel Speed Test:👇
View attachment 3628834
Airtel Speed Test:👇
View attachment 3628835
Hapo wamelipua sana.Kuna kipindi Halotel walikua na ping ya maana, hapo sio upload speed Tu hata ping ya 60 sio nzuri kama unafanya KAZI za real time.
Hapo wamelipua sana.
Sema siyo mbaya, mdogomdogo tutafika tu.
Huyu kwa sababu ni fiber.TTCL wako vizuri sana
Kweli mkuu, sijui tu HALOTEL wamekumbwa na mdudu gani aisee duh maana walikua na mtandao mzuri sana miaka ya hapo nyuma.. Huu mtandao unaenda unakufa taratibu wasipo chukua hatua mapema wahusika..Kuna kipindi Halotel walikua na ping ya maana, hapo sio upload speed Tu hata ping ya 60 sio nzuri kama unafanya KAZI za real time.
Airtel wanakupa kweli ulicho lipia...Huyu kwa sababu ni fiber.
Wenzake ni router za 4G/5G.
Atleast Airtel anatoa speed sawa kwa Downloads na Uploads.
View attachment 3629904
Hawana kona kona kabisa.
Hao jamaa kila mtu anawasifia.Mh nipo dar hapa kuna hawa wanajiita savana, aisee wapo vizuri
tatizo naona wengi wanalalamika kwenye swala la kucheleweshewa kufungiwa , unakuta mtu kalipia ila anakaa mpaka mwezi hawaji kufungaMh nipo dar hapa kuna hawa wanajiita savana, aisee wapo vizuri