Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mbona sasa huku kwa pc ndo easy kupata password 😁😁
Ujue kuna hawa jamaa walisomaga kipindi cha analogy wanajua zama ni kama zile, kumbe mabo yamebadilika kabisa. Pamoja na kuijua password yake lakini bado naweza kushea na device 8 kwa muunganiko huu huu alionipa ila nahisi speed itapungua kidogo.
 
Nipe elimu hapa, so hii unaweza fanikiwa kuijia password ikiwa tu tayari yeye alishawahi kukuunga na sio kwa unayojiunga mara kwanza ?
 
Chief, kumradhi probably mtu ameshauliza huko nyuma. Savannah ina cap?
Nina Voda saii nimebakisha miezi miwili ifike 2 years. Nikiwakacha kimyakimya nikahamia Fiber wata-mind?
 
Wifi za Ofisi za Umma kwa kubania hawajambo😀

Hii speed ya ofisi moja hapa Darisalama.
View attachment 3678637
Ukute wana sababu zao kufanya hivyo 😂 huenda wanagawa speed kwa kila mtumiaji kwa SQC (Simple Queues Connection) ili kila mtu apate speed yake kuepusha mtu mmoja kulamba bandwidth yote kama nyie heavy user mkiona WiFi inamwaga moto 🔥 wa speed ndo mnapata na mawazo ya ku download files nzito 😁
 
Router ya kiboya basi, router za bure hizi zina quality ndogo, utofauti wa ping ni mkubwa Sana.

Kama Una Ethernet cable jaribu pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…