Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,121
mimi pia nataka mkuuHii naiataje kiongozi nataka kuunganishwa
Mkuu asante,ubarikiwe sana!nimecheki online hapa unaweza kupiga rangi, sema wanashauri rangi iwe mat na sio gloss. yaani rangi isiwe ni yenye kung'aa na kuakisi mwanga wa jua inabidi iwe ni rangi ilofifia. ikiakisi mwanga wa jua itayeyusha lnb na pia inaweza sababisha muingiliano wa signal dish likiangalizana na jua.
pia paka vyote rangi usipake LNb
msaada mkuu, nilidonload IDM free trial ya siku 30 lakini baada ya siku 30 kuisha nimeifuta ili nidownload tena lakini kila nikidonload inagoma kufungua mpaka nifanye register, sasa naomba msaada nifanyeje ili nipate ya trial nyingine?mimi pia nataka mkuu
Njia nyingine najua ni kuipiga window pc..msaada mkuu, nilidonload IDM free trial ya siku 30 lakini baada ya siku 30 kuisha nimeifuta ili nidownload tena lakini kila nikidonload inagoma kufungua mpaka nifanye register, sasa naomba msaada nifanyeje ili nipate ya trial nyingine?
inabidi ufanye full un install au ui crack.msaada mkuu, nilidonload IDM free trial ya siku 30 lakini baada ya siku 30 kuisha nimeifuta ili nidownload tena lakini kila nikidonload inagoma kufungua mpaka nifanye register, sasa naomba msaada nifanyeje ili nipate ya trial nyingine?
asante mkuu ngoja nijaribuinabidi ufanye full un install au ui crack.
kufanya full uninstall itabidi utumie software kama iobit uninstaller
kuicrack downnload idm hii fata maelekezo.
https://avast2018.ml/karanpc.com/cl...md5=swPqORvVcrqJOxlGOTwGrA&expires=1515363481
jaribu vodacom vifurushi maalum *149*03#Ni mtandao gani kwa sasa una nafuu ya virushi vya Internet baada ya Halotel kuzingua?
Mkuu tusaidie hiyo trick mkuu hali tete maana kila siku mb zinapunguzwa tu.nimeshaelewa anafanyaje,
huwezi kufanya wewe ni wakala tu ndio anaweza mpaka ukutane nae au kuna vitu akupe ndio utafanya.Mkuu tusaidie hiyo trick mkuu hali tete maana kila siku mb zinapunguzwa tu.
Nimejaribu hii, lakini naishia kupata mb 300 kwa Tshs 500jaribu vodacom vifurushi maalum *149*03#
Basi line yako haina ofa hiiNimejaribu hii, lakini naishia kupata mb 300 kwa Tshs 500
PAWAGA kama umeshindwa kuniunganishia line yangu na mshkaji wangu turudishie hela zetu 18,000. Hela tulimtumia kwa sababu kuna watu walisema humu kuwa walimtumia hela kwanza na Pawaga akawaunganishia line zao.Sijaiona mkuu,najibu pm zote nazoziona ngoja niangalie ntakujibu
Hahahaa imebidi nicheke tu pole mkuu...me ameshakula 9000 yangu imebidi nitulie ndo zake huyo ukimpigia simu anakwambia we msumbufuPAWAGA kama umeshindwa kuniunganishia line yangu na mshkaji wangu turudishie hela zetu 18,000. Hela tulimtumia kwa sababu kuna watu walisema humu kuwa walimtumia hela kwanza na Pawaga akawaunganishia line zao.
Sasa hivi simu hupokei na sms hujibu na hela umeshapewa siku ya TANO. Ukimuuliza vipi umefikia wapi anajibu kwa dharau kuwa asisumbuliwe sana maana hela ndogo hiyo!
Huyu jamaa pengine mwanzoni hakuwa tapeli ila sahivi msimtumie hela, ashakuwa tapeli. Mtu yeyote atakayemtumia PAWAGA hela kabla ya line yake kuunganishwa jua umeliwa.
Kama unataka huyu jamaa akufanyie ishu yako, mwambie afanye kwanza ndipo utume hela. Ukijifanya kutuma kwanza imekula kwako.
Halafu ana majibu ya dharau huyu dogo, humu anajifanya ana kauli nzuri, ukishamtumia hela tu kauli zinabadilika anakuita msumbufu. Bora wewe anapokea sim, si tukimpigia anakata.Hahahaa imebidi nicheke tu pole mkuu...me ameshakula 9000 yangu imebidi nitulie ndo zake huyo ukimpigia simu anakwambia we msumbufu
Nipe basi huo ujanja unataka sh ngapPAGAWA rudisha pesa za watu kama hujui hizi trick...mi naweza toa huu ujanja ila lazima nile pesa ya mlengwa anaehitaji huduma...HAPA KAZI TU....
Hahahaa imebidi nicheke tu pole mkuu...me ameshakula 9000 yangu imebidi nitulie ndo zake huyo ukimpigia simu anakwambia we msumbufu