Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

nimecheki online hapa unaweza kupiga rangi, sema wanashauri rangi iwe mat na sio gloss. yaani rangi isiwe ni yenye kung'aa na kuakisi mwanga wa jua inabidi iwe ni rangi ilofifia. ikiakisi mwanga wa jua itayeyusha lnb na pia inaweza sababisha muingiliano wa signal dish likiangalizana na jua.

pia paka vyote rangi usipake LNb
Mkuu asante,ubarikiwe sana!
 
mimi pia nataka mkuu
msaada mkuu, nilidonload IDM free trial ya siku 30 lakini baada ya siku 30 kuisha nimeifuta ili nidownload tena lakini kila nikidonload inagoma kufungua mpaka nifanye register, sasa naomba msaada nifanyeje ili nipate ya trial nyingine?
 
Njia nyingine najua ni kuipiga window pc..

Ngoja wajuzi wengine waje njia zingine mmbadala
 
msaada mkuu, nilidonload IDM free trial ya siku 30 lakini baada ya siku 30 kuisha nimeifuta ili nidownload tena lakini kila nikidonload inagoma kufungua mpaka nifanye register, sasa naomba msaada nifanyeje ili nipate ya trial nyingine?
inabidi ufanye full un install au ui crack.

kufanya full uninstall itabidi utumie software kama iobit uninstaller

kuicrack downnload idm hii fata maelekezo.
https://avast2018.ml/karanpc.com/cl...md5=swPqORvVcrqJOxlGOTwGrA&expires=1515363481
 
Sijaiona mkuu,najibu pm zote nazoziona ngoja niangalie ntakujibu
PAWAGA kama umeshindwa kuniunganishia line yangu na mshkaji wangu turudishie hela zetu 18,000. Hela tulimtumia kwa sababu kuna watu walisema humu kuwa walimtumia hela kwanza na Pawaga akawaunganishia line zao.

Sasa hivi simu hupokei na sms hujibu na hela umeshapewa siku ya TANO. Ukimuuliza vipi umefikia wapi anajibu kwa dharau kuwa asisumbuliwe sana maana hela ndogo hiyo!

Huyu jamaa pengine mwanzoni hakuwa tapeli ila sahivi msimtumie hela, ashakuwa tapeli. Mtu yeyote atakayemtumia PAWAGA hela kabla ya line yake kuunganishwa jua umeliwa.

Kama unataka huyu jamaa akufanyie ishu yako, mwambie afanye kwanza ndipo utume hela. Ukijifanya kutuma kwanza imekula kwako.
 
Hahahaa imebidi nicheke tu pole mkuu...me ameshakula 9000 yangu imebidi nitulie ndo zake huyo ukimpigia simu anakwambia we msumbufu
 
Halafu ana majibu ya dharau huyu dogo, humu anajifanya ana kauli nzuri, ukishamtumia hela tu kauli zinabadilika anakuita msumbufu. Bora wewe anapokea sim, si tukimpigia anakata.
 
PAGAWA rudisha pesa za watu kama hujui hizi trick...mi naweza toa huu ujanja ila lazima nile pesa ya mlengwa anaehitaji huduma...HAPA KAZI TU....
 
Hahahaa imebidi nicheke tu pole mkuu...me ameshakula 9000 yangu imebidi nitulie ndo zake huyo ukimpigia simu anakwambia we msumbufu

Hebu cheki PM zake, anitukana. Huyu dogo tapeli aisee. Angalia kauli zake zilivyo.

7380afef06d94cd3f729eb1384bf0c1e.jpg

70d2f8fe2ed57d6cfaa5dea96e893054.jpg
 
Back
Top Bottom