Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

mhh nmefuatiliaa huu uzi nakutana na malalamiko ya watu kutapeliwa ...wengine janjajanja tu....hawana lolote..na wewe ambae una ujuzi kwa nini usiuweke hapa hadharani??Kila mmoja anufaike???Acheni ubinafsi huo watanzania
 
Hapo tusi ni lipi kwenye hizo PM? Jamaa si muelewa yaan kila dakika anapiga simu hata hiyo kaz utaifanyaje kama anaingilia na calls zake?
Nmemjibu asubir hatufany dakika 30 kama zaman kwa sasa ni 5 to 7 days na nkimwambia before. Ok huyu ni mjinga narudia ni mjinga
Hakuna sehemu nimesema umemtusi ila ukiweka mambo sawa inakuwa poa
haya mambo ya kuitana matapeli sio jambo zuri wakati wengine huduma ilikubali fresh tu. Fanya kuwarekebishia kama inawezekana ili kuondoa hizo dosari.
 
mhh nmefuatiliaa huu uzi nakutana na malalamiko ya watu kutapeliwa ...wengine janjajanja tu....hawana lolote..na wewe ambae una ujuzi kwa nini usiuweke hapa hadharani??Kila mmoja anufaike???Acheni ubinafsi huo watanzania
Hahaahaa yawezekana kuweka ila itacost tena pakubwa itakuwa BONGE LA KESI.
 
Kivipi mkuu?.
08b15a49d1b1ef091ba1c91426af6f69.jpg

Hapo umeshaelewa watu wanapigaje bao
 
Naomba kufahamu.
Vocha za Airtel uni bado zipo au ?
Nina line ila supplier niliokuwa nawategemea kuzipata wananiambia walisitisha.
Na kama ni hivyo ninapendekeza uzi ufanyiwe marekebisho kwenye kipengele cha vifurushi vya airtel
 
Wadau

Mbona huku kwetu line za voda za chuo zinauzwa wengine wanauza buku wengine 3000 mpaka 5000/
 
Back
Top Bottom