Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

PAWAGA kama umeshindwa kuniunganishia line yangu na mshkaji wangu turudishie hela zetu 18,000. Hela tulimtumia kwa sababu kuna watu walisema humu kuwa walimtumia hela kwanza na Pawaga akawaunganishia line zao.

Sasa hivi simu hupokei na sms hujibu na hela umeshapewa siku ya TANO. Ukimuuliza vipi umefikia wapi anajibu kwa dharau kuwa asisumbuliwe sana maana hela ndogo hiyo!

Huyu jamaa pengine mwanzoni hakuwa tapeli ila sahivi msimtumie hela, ashakuwa tapeli. Mtu yeyote atakayemtumia PAWAGA hela kabla ya line yake kuunganishwa jua umeliwa.

Kama unataka huyu jamaa akufanyie ishu yako, mwambie afanye kwanza ndipo utume hela. Ukijifanya kutuma kwanza imekula kwako.
[emoji20] [emoji20] Mi pia nimemtumia asee ila namuamini nimempa muda wa wiki moja ndo nitaleta mrejesho lkn ukiaminiwa fanya kazi kwa uaminifu ..
 
Siku Tano zimepita. We jamaa acha uongo, tumekupigia sim mara mbili tu ndani ya hizo siku tano na hiyo ni baada ya kuona sms hujibu.

Mara unadai tayari tukicheki hamna kitu, tulikuuliza itachukua mda gani badala ya kujibu unatuita wasumbufu au unapiga kimya tu siku nzima. Hafu acha kutukana watu usiowajua.

Ndio maana watu walisema hapa kwamba ni bora ufanye hiyo kazi kwanza ndipo upewe hela, vinginevyo ndo kama hivyo unatapeli watu
Mkuu hata mimi hajibu sms , yaani sasa wiki nzima anasema ananiunga lkn mpk sasa nacheki huduma naona kimya, yaani yy anataka aaminiwe kumbe yy siyo mwaminifu asee ...
Screenshot_20180307-192713.jpg
 
Unlimited data, kwa kutumia vpn anaehitaji aje PM tuyajenge
Tunnelguru nadhani ndo unaitambia hii itagundulika huwa tunakula kimya kimya sema speed yake ndogo sana najitaidi kuongoza speed lkn bado ila kwa 4G laini ya voda huwa nafaidi haswa..
 
Tunnelguru nadhani ndo unaitambia hii itagundulika huwa tunakula kimya kimya sema speed yake ndogo sana najitaidi kuongoza speed lkn bado ila kwa 4G laini ya voda huwa nafaidi haswa..
Tunnel guru Sijawah hata kutumia
 
Tunnelguru nadhani ndo unaitambia hii itagundulika huwa tunakula kimya kimya sema speed yake ndogo sana najitaidi kuongoza speed lkn bado ila kwa 4G laini ya voda huwa nafaidi haswa..
Wacha nidownload kisha nilipie nione
 
Back
Top Bottom