Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mi yangu inafanya online shoping...sijui unaposema iwe tayari unamaanisha nini....kama kuwezeshwa mi sikuwahi kuifanyia hivyo niliiLINK PayPal basi nikamaliza kazi
Oky sahihi kwa maono yako
 
Anaehitaji anione chap haupimiwi data, kesha 24hrs ni ww tu mpka tar yako ifike
 
Suala la data limekuwa pasua kichwa aisee.

FREE JF Version inaniokoa sana. Bila hivyo nisingeweza kuchungulia JF japo kwa siku.

-Kaveli-
 
Nina saidia watu kupunguza na kubana matumizi na gharama za kupiga simu na gb nyingi za internet ili uwe unapata dakika nyingi na gb nyingi kwa hera kidogo pata

Kwa tsh 2000 unapata dakika 1500 za mtandao mmoja na dakika 300 za mitandao tote na sms bila kikomo gb1½ kwa wiki nzima facebook na whatsapp ni bure ukiwa na vifurushi hiki kama wewe unahitaji offer hizi nitafute nikuelekeze pia karibu ktk group langu la whatsapp namba zangu ni 0756695846 na 0716258599. Nb.. Huuu sio uongo ni ukweli kabisa mimi navitumia hivi vifurushi. .karibu na wewe.
 
Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia

Tigo

-Vifurushi vya chuo

Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo

Vodacom

-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#

Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.

Halotel
-Vifurushi vya chuo

Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.

TTCL
-Boom pack (vya chuo)

Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb
pia wana vifurushi vya mwezi kwa sh 1500 utapata 2gb, 3000 utapata 4gb na shilingi 5000 utapata 7GB

kujiunga *148*30#
vifurushi vya usiku
kwa shilingi 1000 utapata gb 10 za 4g kuanIa saa 4 usiku hadi 12 asubuhi, kujiunga ni menu ile ile ya *148*30#.

Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu

Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.

Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.

Remote
mbona voda wanakataa kuniunganisha hicho cha chuo?au mpaka uwe na line ya chuo?
 
Tunnelguru nadhani ndo unaitambia hii itagundulika huwa tunakula kimya kimya sema speed yake ndogo sana najitaidi kuongoza speed lkn bado ila kwa 4G laini ya voda huwa nafaidi haswa..
Mkuu kwa device gani
 
Tunnelguru nadhani ndo unaitambia hii itagundulika huwa tunakula kimya kimya sema speed yake ndogo sana najitaidi kuongoza speed lkn bado ila kwa 4G laini ya voda huwa nafaidi haswa..
Still bado unapata unlimited data through tunnelguru me kitambo saana hii kitu ilishanikataa ukichanganya na ile ya droid vpn.
 
Uwakika pata GB8.2 miezi 3 kwa shilingi 1999 tu mtandao was Halotel hii ni latest imeanza Siku kuu ya pasaka changamkieni kuipata bofya *146*55*4*01#
 
Uwakika pata GB8.2 miezi 3 kwa shilingi 1999 tu mtandao was Halotel hii ni latest imeanza Siku kuu ya pasaka changamkieni kuipata bofya *146*55*4*01#

Hamna kitu nikiweka hizo namba haiendi. Halotel washanyooshwa kutoka mbwembwe za 10gb mpaka gb 6 si kwa spiiidi hiyo ya kushusha huduma
 
Back
Top Bottom