Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Sorry chief, kwani Zantel wanapatkna tigo ilipo?
 
Wakuu nimeweka bando la chuo halotel la mwezi shilingi 10,000 GB 10 eti zimeisha siku moja kwa kuperuzi mtandao tu ,hawa jamaa ni wezi
Unatumia menu ipi kupata hii kitu? Yangu inaonyesha gb 3 hawa jamaa hawaeleweki
 
na shida sana na line ya zantel ila huku nilipo ofisi za zantel hakuna,inamaana kwa majibu ya mkuu hpo naweza kwenda ofisi ya tigo nikapata line ya zantel?
sio rahisi kupata, issue hapa wakitangaza hadharani wanaweza kukosa wateja ndio maana wanaieka hivyo hivyo separate.

ila mikoa mikubwa si zantel ipo? tafuta mtu dar/mwanza/mbeya/Arusha akutafutie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…