Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #1,361
tigoMtandao gani huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tigoMtandao gani huu
Yajayo yanafurahishaYajayo yanafurahisha
Hii bundle ipi
Hii bundle ipi
Naomba menu yake
Hii cm imegoma kusoma line anaejua tatizo tafadhaliView attachment 813138
Kwa hiyo siwezi pata msaada wowote ikasoma?Baseband hyo unknown ndio shida hapo
Msaada upo ,kufanya mwenyew ni process kdgo..njia rahis na haraka ni kumchek fundi mweny box anafix chap.Kwa hiyo siwezi pata msaada wowote ikasoma?
Kama upo Dar nije pm tuyajengeMsaada upo ,kufanya mwenyew ni process kdgo..njia rahis na haraka ni kumchek fundi mweny box anafix chap.
Kama upo Dar nije pm tuyajenge
Cha TTCL kinapatikanaje?kifurushi chao cha usiku ni 4gb kwa shilingi 1,500. sio kizuri.
kama eneo lako lina TTCL 4g wao wanatoa 10gb kwa shilingi 1000 hawa ndio best kwa muono wangu. ila inaanza saa sita usiku.
pia kama kuna tigo 4g tafuta line ya zantel kwa 1500 utapata 8gb na halotel utapata 10gb kwa 1500.
Sawa chiefNipo dar ila sina box mkuu...bila box ni process ndefu..ww nenda k.koo wambie unataka repair baseband.
Tafuta firmware ya kurepair yenye file 4, utaflash kwa odini baseband itarudi kama ni ishu ya software. Au kama una utaalamu zaidi tafuta modem inayoendana na firmware iliyomo flash simu yako.Hii cm imegoma kusoma line anaejua tatizo tafadhaliView attachment 813138
kama lini ni ya VODA hata mm huwa inazingua kwenye TAB, ila ukiweka laini nyengine zinakubaliHii cm imegoma kusoma line anaejua tatizo tafadhaliView attachment 813138