Innocizy
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,736
- 1,056
Zantel wana 4G?kifurushi chao cha usiku ni 4gb kwa shilingi 1,500. sio kizuri.
kama eneo lako lina TTCL 4g wao wanatoa 10gb kwa shilingi 1000 hawa ndio best kwa muono wangu. ila inaanza saa sita usiku.
pia kama kuna tigo 4g tafuta line ya zantel kwa 1500 utapata 8gb na halotel utapata 10gb kwa 1500.