Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Voda wamekiwasha tena
Hadi Raha
1531983915098.jpg
 
kifurushi chao cha usiku ni 4gb kwa shilingi 1,500. sio kizuri.

kama eneo lako lina TTCL 4g wao wanatoa 10gb kwa shilingi 1000 hawa ndio best kwa muono wangu. ila inaanza saa sita usiku.

pia kama kuna tigo 4g tafuta line ya zantel kwa 1500 utapata 8gb na halotel utapata 10gb kwa 1500.
Cha TTCL kinapatikanaje?
 
Wanazidi kuturundikia dakika,nani snaongea na simu sikuhizi?
Waweke data ndo mpango mzima.
Nauliza hizo GB 4 kwa wiki kwa tigo unazipataje,maana mwenye menu haipo,ila kuna watu wanaunga kwa sh 2000.
 
Back
Top Bottom