Pamoja sana ndugu.Nenda ttcl mkuu kwa daah 4g. Speed 10mb/ps.
3gb siku7 tsh2000
10gb. Toboa night 1000. Kuanzia saa sita usiku hadi 12 asubuhi.
Sijajua mkuu maana bado sijatembea maeneo mengine tofauti na nilipo hapa nione kama iko vizuri na huko au laHao TTCL wapo nchi nzima.... Maana sie wa Mikoani hatuna uhakika......
Mkuu pole sana.Wakuu nimeweka bando la chuo halotel la mwezi shilingi 10,000 GB 10 eti zimeisha siku moja kwa kuperuzi mtandao tu ,hawa jamaa ni wezi
Unaendeleaje kubonyeza mkuu sijakupata hapopia kwenye voda kuna 51gb kwa 50,000 mwezi, 10gb kwa 10,000 kwa wiki, vya siku ni 3gb kwa 2,000 , 800mb kwa 1000 na 300mb kwa miatano. unabonyeza *149*03#. endelea kubonyeza hata mara 20 hadi upate kifurushi unachokitaka. hivi ndiyo natumia kupakua movies na kucheki mechi.
Umekipataje?Nimebahatika kukipata
Umekipataje hikiNimebahatika kukipata
Nimenunua wakuuUmekipataje hiki
Vifurushi vya chuo unapiga ngap ngap mkuu.Mimi ni mwendo wa Tigo, hakina kuna unafuu sana!
kama upo eneo la chuoVifurushi vya chuo unapiga ngap ngap mkuu.
Nimepiga hiyo ya *148*00# naambiwa imekuwa *147*00# sasa cjui inakuaje.kama upo eneo la chuo
*148*01*20#
kama una line inayounga vifurushi vya chuo
*148*00#
kisha chagua 1 vifurushi maalumu kisha chagua menu ilioandikwa university offer.
Mtandao gani huukama upo eneo la chuo
*148*01*20#
kama una line inayounga vifurushi vya chuo
*148*00#
kisha chagua 1 vifurushi maalumu kisha chagua menu ilioandikwa university offer.