Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Haya ya ttcl ni kweli
1531587290845.jpg
 
pia kwenye voda kuna 51gb kwa 50,000 mwezi, 10gb kwa 10,000 kwa wiki, vya siku ni 3gb kwa 2,000 , 800mb kwa 1000 na 300mb kwa miatano. unabonyeza *149*03#. endelea kubonyeza hata mara 20 hadi upate kifurushi unachokitaka. hivi ndiyo natumia kupakua movies na kucheki mechi.
Unaendeleaje kubonyeza mkuu sijakupata hapo
 
Vifurushi vya chuo unapiga ngap ngap mkuu.
kama upo eneo la chuo

*148*01*20#

kama una line inayounga vifurushi vya chuo

*148*00#

kisha chagua 1 vifurushi maalumu kisha chagua menu ilioandikwa university offer.
 
Back
Top Bottom