Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Zantel wana 4G?
 
Wanazidi kuturundikia dakika,nani snaongea na simu sikuhizi?
Waweke data ndo mpango mzima.
Nauliza hizo GB 4 kwa wiki kwa tigo unazipataje,maana mwenye menu haipo,ila kuna watu wanaunga kwa sh 2000.
Huyo kapewa dk nyingi sababu ya simu aliyotumia kupigia menu. Jamaa pia huwa wanaangalia na uwezo wa simu.
 
Nawaza mkuu hili hiyaji lako.

Maana zipo app unaweza download zina tumia hizo emoji.
Nimetumia emoji nyingi mkuu but 'stock emoji' haibadiliki yaan iko vile vile yaan nataka I we kama hv
 
Hiyo ya halotel unafanyaje kuipata
 
Chief nipo nje kidogo ya mada naitaji kubadilisha stock emoj ya cm yangu kwenda iOS kama hiviView attachment 813327
emoji ili zifanye kazi inabidi wote unaetuma na unae mtumia mtumie emoji sawa, ukieka emoji tofauti na uliyoekewa mwenzako ataona tu vibox.

pia inawezekana wewe ukaona vizuri hivyo kwa kubadili kwako ila kwa mwenzako kama hajabadili hataona vizuri kama unavyoona wewe

na pia hakuna emoji za ios na android wote wanatumia standard emoji za unicode kisha wanabadilisha tu vipicha hapa na pale kwa full list angalia hapa

Full Emoji List, v11.0

kwa kubadili emoji mbalimbali unaweza tu ukabadili keyboard mfano kwa kuanzia unaweza ukadownload keyboard inaitwa swiftkey ipo playstore na inatumika kote android na ios. tutorial yake hii hapa chini

How to use Emoji with SwiftKey
 
Njia rahisi fuata maelekezo ya chief mkwawa, ila emoji zinaweza kwako zikaonekana za ios kwa unae mtumia zisionekane hivyo kutokana na device atakayokuwa anatumia.
Mkuu kuna application nimefanikiwa kuipata inaitwa android emoji changer Ila ndani yake kuna maswala ya customer recovery Sijui ndo nini.View attachment 813961
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…