Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.

Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.

Voda wako vizuri aisee.
Ulijaribu kudownload video ya youtube kuangalia speed? Sometime ni website ndio inakuwa slow na sio mtandao.
 
Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.

Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.

Voda wako vizuri aisee.

Pole sana mkuu, mimi huwa natumia bundle ya halotel.
 
Labda pengine kiongozi.

Ntajaribu kununua kifurushi leo niangalie hilo mkuu.

Thanks kwa ushauri.
Angalia pia tigo kama ina speed tafuta line ya zantel (wanatumia mnara mmoja hawa) utapata 8Gb kwa 1500 usiku.

Pia halotel wanatoa 10GB kwa 1500
 
Halotel mi ikisha fikaga saa 6 usiku mi uwa najiunga kifurushi Cha buku free net mpaka asubuhi asee naachaga tu mzigo Torrent hata gb 20 asubuhi nakuta umemaliza
 
Kifurushi gani hicho, maana najua kilichopo ni cha gb 10 kwa 1500
 
Hii ofa ni kwa kila mtu ilianza since kipindi Cha ramadhani pole sana Kama wamekusahau kwenye mgao
Aaah, nimekiona hicho kifurushi bro. Huwa naweka line ya halotel kama nataka kushusha mizigo mikubwa na kwa kuunga kile kifurushi cha 1500,tu sikuwahi kujua kama kipo hicho cha 1000 unlimited

Shukran sana.
 
[emoji41]
Screenshot_20180919-144538.jpeg
 
Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.

Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.

Voda wako vizuri aisee.
Ahahaha pole mkuu. Mwanzoni walikuwa wananila hivyohivyo sema nmegundua kasehemu nikiweka mifi yangu bundle nalifaidi balaa..!
 
Back
Top Bottom