Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi nikiongelea ubora wa Internet namaanisha nikitumia Vodacom ikiwa vibaya spidi ni 30 Mbps ikiwa vizuri inacheza 40-60 Mbps. Lakini kwa Ttcl spidi ni 3 Mbps ikipanda sana tena kwenye saa 9 za usiku inafika 11 Mbps <-- hizi spidi ni zakijinga kwa mtandao wa 4G. Wewe kama unaridhishwa na hizi spidi ambazo unaweza pata kwenye mitandao ya HSPA+ kama halotel au hata airtel basi ni wewe au labda kwako unapata spidi nzuri zaidi hatuwezi jua.

Hebu nielekeze jinsi ya kuangalia speed ya mtandao mkuu. Thanks.
 
Wakuu ni mtandao gani una vifurushi vya SMS vinavyojitegemea vya bei nafuu kwa mwezi ?
 
Wakuu ni mtandao gani una vifurushi vya SMS vinavyojitegemea vya bei nafuu kwa mwezi ?
Voda
*149*01#
Chagua namba 8 ( sms)
Tsh 2000/= kwa mwezi

Airtel
*149*99#
Chagua namba 8 ( Jiachie sms)
Tsh 1000 kwa mwezi
 
Back
Top Bottom