Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hivi kuuliza salio la ttcl muongozo wake upo vipi kwa vifurushi vya chuo
Utaenda menu yao ya kawaida *148*30#

Kisha option ya 9 kama sijakosea ya kuangalia salio, ndani utakuta option za kuangalia salio la vifurushi mbalimbali.
 
Ukilipia shilingi 1500 za kitanzania unapewa 10gb za kutumia usiku kuanzia saa 6 mpaka 12 asubuhi.

Ila kipo bora zaidi cha unlimited. Kwenye offer maalumu.
Cha unlimited kile ni usanii mtupu eti wameandika speed kubwa lakini hamna kitu.

Ni afadhali ununue hicho cha 1500.
 
Ni nini maana ya Roaming mkuu?
Roaming is a wireless telecommunication term typically used with mobile devices. It refers to the mobile phone being used outside the range of its home network and connects to another available cell network.

source: WIKIPEDIA
 
Cha unlimited kile ni usanii mtupu eti wameandika speed kubwa lakini hamna kitu.

Ni afadhali ununue hicho cha 1500.
Yah kwenye mabano wameandika unlimited, ngoja nitakijaribu na mimi nione.
 
Hawa voda hawana busara coz me nilikuwa na line ya chuo... nkashangaa wamenitoa.
Mbona tigo na halotel hawakukata.
Vodacom n mtandao wa OVYOOO haumsaidii mtanzania wa kawaida.
Sitak kusikia habar za vodacom pumbav
Tumia Halotel kwa sasa hamna haja ya kuwa na line ya chuo.Line yoyote unaweza kununua kifurushi cha chuo ukijiunga na Halopesa.
 
Chief nahitaji MB za halotel kwa mwezi kwa kifurushi cha chuo muongozo tafadhali
Gb 4 kwa 10,000 kwa muono wangu sio kifurushi kizuri. Ni vyema ununue vya wiki mb 900 kwa shilingi 1,000 ambavyo vitakuja kama GB9 kwa 10,000 ile ile.

Kuvipata ingia menu ya halopesa kisha chagua option ya 3
 
Cha unlimited kile ni usanii mtupu eti wameandika speed kubwa lakini hamna kitu.

Ni afadhali ununue hicho cha 1500.
Umeona eeh Nilijua tatizo ni simu yang kumbe tatizo ni aina ya kifulushi walicho kiweka.
Kwa hili haloteli mjilekebishe
 
Back
Top Bottom