Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Weka screen shot na Namba ya huduma Tafadhali nioneVipo hawajavitoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka screen shot na Namba ya huduma Tafadhali nioneVipo hawajavitoa
*149*01*, piga 4,piga 1....Weka screen shot na Namba ya huduma Tafadhali nione
Hatari ssaanaVoda wameharibu kazi aiseeh bundle zao za chuo zimekua mara mbili ya gharama yaani wamepandisha asilimia 100 ngoja tuendelee kukomaa na Magumashi[emoji28]
Me nimekimbilia Zantel ndio kuna afuheni.Vifurushi vya voda vya chuo garama zimepanda aisee, sio tena jero ni buku ,yaan ongezeko LA jero jero kila kifurush
kwa sh ngapi? mi inanipa option moja tu ya 3GB kwa 10,000 kwa wiki duh ...choka kabisavoda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
ni muda mrefu now, huenda wameiondoa.kwa sh ngapi? mi inanipa option moja tu ya 3GB kwa 10,000 kwa wiki duh ...choka kabisa
kivip mkuu?Me nimekimbilia Zantel ndio kuna afuheni.
*149*42#Unajiungaje hapo mkuu
Nikimaanisha unapiga/kubonyeza namba gani hadi kuipata option hio??
GB 1 niliyokuwa naipata kwa 1000 voda ndio napata Zantel kwa bei hiyo hiyo wakati sahivi voda hupati 1GB bila 1500 au 2000 kama sikosei.kivip mkuu?
Airtel ya kawaida au ya chuo?Pata GB 9 kwa siku 7
Kwa Tsh. 10,000/=
Airtel bwana wako vizuri mno
Tunatuma ela au tuwe physicallyKwa watumiaji wa halotel tu naunganisha vifurushi Gb 13 kwa week moja gharama elfu 5 tu. Welcome
Soma nilicho kiandika mkuu afu ukishaelewa jiongeze ,Tunatuma ela au tuwe physically
Kama unatuma pesa, usinijibu mkuu
Pata GB 9 kwa siku 7
Kwa Tsh. 10,000/=
Airtel bwana wako vizuri mno