Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Weka screen shot na Namba ya huduma Tafadhali nione
*149*01*, piga 4,piga 1....
Angalia namba tano
Screenshot_20181024-114056_Phone.jpeg
 
Mbona kuna huduma saiv hazipo voda, mfano hiyo ya *149*42#? Na pia kifurushi cha 2000tsh kwa 3gb saiv wamekiondoa na kuleta 1.5gb kwa 2500tsh
 
Wataalamu wa MTK ENGENEERING,,
Wanijuze jamani naisikia tu inaweza kukupatia GB nyingi zaidi
 
Hivi vifurushi vya ZANTEL ni kwa ajili ya social network tu au hata kufanya mambo mengine wakuu na je ni kwa line zote au nao wana line za chuo tu?.
Screenshot_20181025-142457.png
 
Kwa watumiaji wa halotel tu naunganisha vifurushi Gb 13 kwa week moja gharama elfu 5 tu. Welcome
 
Mkuu Chief Mkwawa naomba nielekeze namna ya kutoa matangazo yanayotokea ktk screen wakati napotumia simu,ni Xiaomi Note 5 imeanza leo baada ya kui-update.

Thanks in advance!
 
Back
Top Bottom