kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,716
- 12,116
Thanks kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unapoishi mtandao wa tigo upo vizuri tafuta laini ya ZANTEL wanakifurushi cha gb 16 kwa elfu 10 kwa mweziChief nahitaji MB za halotel kwa mwezi kwa kifurushi cha chuo muongozo tafadhali
TUpe muongozo wa menu mkuuKama unapoishi mtandao wa tigo upo vizuri tafuta laini ya ZANTEL wanakifurushi cha gb 16 kwa elfu 10 kwa mwezi
Vifurushi vya voda vya chuo garama zimepanda aisee, sio tena jero ni buku ,yaan ongezeko LA jero jero kila kifurush
Unapatikana wapi?Anyone mwenye vifurushi vya dili vile wakuu?
Njoo inbox mkuuUnapatikana wapi?
Gb 4 kwa 10,000 kwa muono wangu sio kifurushi kizuri. Ni vyema ununue vya wiki mb 900 kwa shilingi 1,000 ambavyo vitakuja kama GB9 kwa 10,000 ile ile.
Kuvipata ingia menu ya halopesa kisha chagua option ya 3
Tumia Airtel money unga vifurushi vya chuo, nafkiri 1000 unapata 1gb kwa siku 3Mkuu naomba kufahamu kwa airtel vifurushi vipi vya data viko poa na menu yake
Tumia Airtel money unga vifurushi vya chuo, nafkiri 1000 unapata 1gb kwa siku 3
*149*81# kisha ingia uni mpya ujaribuDu mkuu naona vimebadilishwa cjui. Mana kwangu cha 1000 ni mb 500 na cha 2000 ndio 1gb
Asante mkuuWadau kuna matapeli wanasema wanauza vifurushi vya wafanyakaz wa makampuni ya cm kwa sh 13,000 wanasema watakupa dkk 1950 na gb 30 kwa mwezi wako vzr sana kucomvince mpaka uingie kingi baada ya hapo watakuambia usubiri code lkn hutatumiwa kbs code mwisho wa siku watakubloc kbs namba zao ni
0625909537
074449363634
0746040383
Be careful
Mkuu ahsante sanaWadau kuna matapeli wanasema wanauza vifurushi vya wafanyakaz wa makampuni ya cm kwa sh 13,000 wanasema watakupa dkk 1950 na gb 30 kwa mwezi wako vzr sana kucomvince mpaka uingie kingi baada ya hapo watakuambia usubiri code lkn hutatumiwa kbs code mwisho wa siku watakubloc kbs namba zao ni
0625909537
074449363634
0746040383
Be careful
Vmebadilishwa ndioDu mkuu naona vimebadilishwa cjui. Mana kwangu cha 1000 ni mb 500 na cha 2000 ndio 1gb
Mkuu Vodacom sioni vifurushi vya mwexi wala wiki vya wasap.. Shida mini? Au wameondoaGb 4 kwa 10,000 kwa muono wangu sio kifurushi kizuri. Ni vyema ununue vya wiki mb 900 kwa shilingi 1,000 ambavyo vitakuja kama GB9 kwa 10,000 ile ile.
Kuvipata ingia menu ya halopesa kisha chagua option ya 3
Sina uhakika mkuu na sina line yao karibu ngoja wanaotumia watatusaidia zaidi.Mkuu Vodacom sioni vifurushi vya mwexi wala wiki vya wasap.. Shida mini? Au wameondoa
Vipo hawajavitoaMkuu Vodacom sioni vifurushi vya mwexi wala wiki vya wasap.. Shida mini? Au wameondoa