Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Halotel wana kifurushi cha night kinaitwa usiku park piga *148*66#

Pia wana offer ilikuwa tangu mwezi wa ramadhani unlimited internet kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi kwa 1000.
 
Mbona hamueleweki. Wanatoaje sasa ?!
Ukilipia shilingi 1500 za kitanzania unapewa 10gb za kutumia usiku kuanzia saa 6 mpaka 12 asubuhi.

Ila kipo bora zaidi cha unlimited. Kwenye offer maalumu.
 
Halotel wana kifurushi cha night kinaitwa usiku park piga *148*66#

Pia wana offer ilikuwa tangu mwezi wa ramadhani unlimited internet kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi kwa 1000.
Usiku park ipoje?
 
Piga *148*66# Kisha chagua namba 4. Mitandao yote, then chagua namba tano SMS bando.
IMG_20180929_173037.jpeg

Ahsante mkuu
Siku zote nilitafuta lakini sikujua km hii kitu ipo

Tatizo "wameificha ndanindani"
 
Jamani mimi nahitaji line ya chuo ya TTCL,kuna yeyote anaeweza kunisaidia hapa?
 
Mikumi ndiyo kama hiyo uliyoonyesha
Utakiwi kutoa iyo [emoji2400](Roaming)iko ivi ttcl maeneo mengi ya nnchi yetu kwa sasa wanatumia minara ya tigo,hata mimi hiyo R inaonekana hapo ni kwa ajili natumia zantel,zantel nao wanatumia minara ya tigo kwahiyo iyo Roaming inapatikana kwenye setting tu ya simu yako ukiiweka off network ya simu yako nayo itapotea ivyo ndo navyoelewa wataalamu watakuja ongezea nyama kuhusu iyo Roaming
 
Ni nini maana ya Roaming mkuu?
 
Back
Top Bottom