Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya voda vya chuo garama zimepanda aisee, sio tena jero ni buku ,yaan ongezeko LA jero jero kila kifurush
 
Gb 4 kwa 10,000 kwa muono wangu sio kifurushi kizuri. Ni vyema ununue vya wiki mb 900 kwa shilingi 1,000 ambavyo vitakuja kama GB9 kwa 10,000 ile ile.

Kuvipata ingia menu ya halopesa kisha chagua option ya 3

Mkuu naomba kufahamu kwa airtel vifurushi vipi vya data viko poa na menu yake
 
Wadau kuna matapeli wanasema wanauza vifurushi vya wafanyakaz wa makampuni ya cm kwa sh 13,000 wanasema watakupa dkk 1950 na gb 30 kwa mwezi wako vzr sana kucomvince mpaka uingie kingi baada ya hapo watakuambia usubiri code lkn hutatumiwa kbs code mwisho wa siku watakubloc kbs namba zao ni
0625909537
074449363634
0746040383
Be careful
 
Asante mkuu
 
Mkuu ahsante sana
 
Gb 4 kwa 10,000 kwa muono wangu sio kifurushi kizuri. Ni vyema ununue vya wiki mb 900 kwa shilingi 1,000 ambavyo vitakuja kama GB9 kwa 10,000 ile ile.

Kuvipata ingia menu ya halopesa kisha chagua option ya 3
Mkuu Vodacom sioni vifurushi vya mwexi wala wiki vya wasap.. Shida mini? Au wameondoa
 
Pata GB 9 kwa siku 7
Kwa Tsh. 10,000/=

Airtel bwana wako vizuri mno
 
Back
Top Bottom