Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
-
- #1,441
Ulijaribu kudownload video ya youtube kuangalia speed? Sometime ni website ndio inakuwa slow na sio mtandao.Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.
Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.
Voda wako vizuri aisee.
Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.
Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.
Voda wako vizuri aisee.
Ulijaribu kudownload video ya youtube kuangalia speed? Sometime ni website ndio inakuwa slow na sio mtandao.
Pole sana mkuu, mimi huwa natumia bundle ya halotel.
Angalia pia tigo kama ina speed tafuta line ya zantel (wanatumia mnara mmoja hawa) utapata 8Gb kwa 1500 usiku.Labda pengine kiongozi.
Ntajaribu kununua kifurushi leo niangalie hilo mkuu.
Thanks kwa ushauri.
Kifurushi gani hicho, maana najua kilichopo ni cha gb 10 kwa 1500Halotel mi ikisha fikaga saa 6 usiku mi uwa najiunga kifurushi Cha buku free net mpaka asubuhi asee naachaga tu mzigo Torrent hata gb 20 asubuhi nakuta umemaliza
Iki unapiga *148*66#, then 1(ofa maalum) then usiku ofaKifurushi gani hicho, maana najua kilichopo ni cha gb 10 kwa 1500
Sasa hiyo ofa si maalumu, which means ni kwaajili yako tuIki unapiga *148*66#, then 1(ofa maalum) then usiku ofa
Cha Chuo auHalotel 1000 unakula unlimited usku
Cha Chuo au
Sh500 mb 800 sikusifahamu mkuu kuhusu hili, anaetumia atujuze zaidi
Hii ofa ni kwa kila mtu ilianza since kipindi Cha ramadhani pole sana Kama wamekusahau kwenye mgaoSasa hiyo ofa si maalumu, which means ni kwaajili yako tu
Aaah, nimekiona hicho kifurushi bro. Huwa naweka line ya halotel kama nataka kushusha mizigo mikubwa na kwa kuunga kile kifurushi cha 1500,tu sikuwahi kujua kama kipo hicho cha 1000 unlimitedHii ofa ni kwa kila mtu ilianza since kipindi Cha ramadhani pole sana Kama wamekusahau kwenye mgao
hiki kinapatikanaje mkuu?Kifurushi gani hicho, maana najua kilichopo ni cha gb 10 kwa 1500
Ukiingia kwenye menu ya halotel chagua internet then usiku packhiki kinapatikanaje mkuu?
Ahahaha pole mkuu. Mwanzoni walikuwa wananila hivyohivyo sema nmegundua kasehemu nikiweka mifi yangu bundle nalifaidi balaa..!Namba ya kumbukumbu ni 212121 nilifanikiwa aisee ila sitakaa ninunue tena bundle kwa ttcl coz katika hizo GB10 hata MB100 sijatumia wakuu.
Na hapo niliacha i-download movies tangu saa 6 usiku mpaka asubuhi kuja kuamka movie hata robo haijafika aisee. Na hiyo nipo Dar Tabata.
Voda wako vizuri aisee.