Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Tunnelguru nadhani ndo unaitambia hii itagundulika huwa tunakula kimya kimya sema speed yake ndogo sana najitaidi kuongoza speed lkn bado ila kwa 4G laini ya voda huwa nafaidi haswa..
Hapa ndipo ulipoa haribu ww kwann utoe siri za kambi?
 
nilichoshangaa sumsung galax s6 edge kwenye maduka ya simu ni sh 1,450,000 ukienda kariakooo sh 600,000 kazi kwako
 
Wakuu Vodacom Ya kwako tu (*149*03#) ukitaka kucheki salio unapiga # gani ?
 
Nina text million 2
Mgao wa voda juzi
Screenshot_20180419-203054.jpg
 
Hamna kitu nikiweka hizo namba haiendi. Halotel washanyooshwa kutoka mbwembwe za 10gb mpaka gb 6 si kwa spiiidi hiyo ya kushusha huduma
Hiki ni kifurushi gani au ni kile cha usiku cha gb 10?
 
Hiki ni kifurushi gani au ni kile cha usiku cha gb 10?[/QUOTE
Hii ilikuwa kwenye line ya mwana chuo sikuizi nimewahama wanaiba tuu ukiweka kibando kinaisha faster kushinda maelezo. Nimerudi nyumbani ttcl ndo wapo kwenye chat sasa ni wauhakika.
 
Huyu hajaangalia vizuri, hiyo bundle ya 3GB siku 7 ya voda ni shs. 20,000/= sio 2,000/=.
Mimi nilipiga *149*03# ikaniletea 5GB@2000/mwezi baada yakuitumia kwa miezi 5 sasa imenipa 5GB@5000/=/Mwezi
 
Back
Top Bottom