Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi nilipiga *149*03# ikaniletea 5GB@2000/mwezi baada yakuitumia kwa miezi 5 sasa imenipa 5GB@5000/=/Mwezi
5GB,SMS bila kikomo na dakika 250 kwa mwezi kwa 2000 tu. Mi ndo napata hivyo nikipiga *149*03#
 
kuna kifurushi cha chuo kinaungika na line zote kinakuwa kwenye vifurushi maalum piga *149*03# kisha chagua DAR super uni au TMK super uni au uni utakayoikuta.

kwa experience yangu kitakuwa bei ni 2000 na utapata
-dakika 150 voda kwenda voda
-dakika 50 mitandao yote
-1GB internet
-social network kama fb na whatsapp bure
-sms nimesahau ngapi ila ni maelfu.

kinakaa wiki nzima.
 
Nimekuelewa Mkuu. Inabidi mitandao yetu iangalie namna ya kupunguza gharama aisee, hali si hali.
Khali ni mbaya jitaidi kama watumia laini ya voda bonyeza *149*03# ofa yako internet no .2 kuna unafuu
 
J5 pro itakuwa vzr zaidi? vp duka gani wanauza kwa bei rafiki?
Mimi nipo shinyanga lakini nanunulia simu zangu kwa mwanza j5 pro 2017 32GB ( 530k ) na J5 Prime 2017 32G kwa (450K) sijajua kwa maeneo mengine bei iko vp .
 
Back
Top Bottom