Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mie nimejiunga hiki kifurushi asee ni bomba sana nimepewa 10GB
Screenshot_2018-12-01-08-20-04-98.jpeg
 
Tho massage zangu dm zimefutika ndugu kuna wale jamaa nilio malizana nao tayari naomba mje inbox sorry kwa usumbufu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo mazuri wajuzi tunaendelea kunufaika
IMG-20181203-WA0023.jpeg
 
Be careful kwa wale mnaowatumia hela ili mpatiwe data hasa huyu anaejiita King Elly. Ni tapeli wa kutupwa, utakaa mwezi unasubiria hizo data, hawa ndo wanachafua reputation ya jf.
 
Be careful kwa wale mnaowatumia hela ili mpatiwe data hasa huyu anaejiita King Elly. Ni tapeli wa kutupwa, utakaa mwezi unasubiria hizo data, hawa ndo wanachafua reputation ya jf.
nilimuuliza nimwoneshe screenshot zake hana lolote tapeli takataka kabisa
 
Back
Top Bottom