Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Nakipataje hicho kifurushi?ni habari za kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakipataje hicho kifurushi?ni habari za kweli
Imekaa njema mno naipataje mkuu?
Njoo inbox mkuu, tulifanikishe hilimi siungi ila kuna jamaa kaniunga huku mkoani..
Haiwezekani mitandao yote ikawa na kifurushi kimoja. Kwa asilimia kubwa ni utapeli. Vipo vifurushi vya design hio ila hutokea kwa mitandao michacheWadau kuna hii makitu inatembea sana kwa magroup
Inaukweli?
Iki wajanja wa mjini wanajiunga kwa kutumia MTK sema ni risk.
Ni vipi?
Usijaribu wengi wao ni weziWadau kuna hii makitu inatembea sana kwa magroup
Inaukweli?
kifurushi gani hiki?Tigo wanatisha angalia kifurusi cha sh 1000 kwa wikiView attachment 975793
Nataka hii Huduma piaGB60 kwa miezi 6 mi nakuunga. Na utalipia baada ya kuona bando
Imepotea lini?Dah niliwahi kupata line ya voda miezi sita no kuweka salio
Nilisikitika sana nilipoipoteza
Me nilipata ya tigooo.... Yani nazawadiwa Dak na Mb za kutosha kila mwisho wa mweziDah niliwahi kupata line ya voda miezi sita no kuweka salio
Nilisikitika sana nilipoipoteza
Halotel ndio funga kazi,hyo buku unapiga unlimitedttcl mpango mzima nyumbani kumenoga 10gb saa sita usiku kwa buku.unaweka list ya movie kwenye torrent ukiamka mzigo safi
Asante jerry..mana kuna jamaa wa spy app namuuliza aitume hyo app akaniambia ingia pm, nikaingia mwishon anasema tuwasiliane nikaona hawa ndo majambazi yenyew...nikanyut
kipi.cha ramadhan?Halotel ndio funga kazi,hyo buku unapiga unlimited
hiko hikokipi.cha ramadhan?
👍hiko hiko