Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hichi kifurushi kinatolewa bure au vipi, maana nimekikuta tu kwenye laini ya voda na sijaweka salio wala siona sms ya kuunganishwa
CameraZOOM-20181223212029489.jpeg
 
Wadau kuna hii makitu inatembea sana kwa magroup
Inaukweli?
Haiwezekani mitandao yote ikawa na kifurushi kimoja. Kwa asilimia kubwa ni utapeli. Vipo vifurushi vya design hio ila hutokea kwa mitandao michache
 
ttcl mpango mzima nyumbani kumenoga 10gb saa sita usiku kwa buku.unaweka list ya movie kwenye torrent ukiamka mzigo safi
 
hakuna app spy ya bure zote zinauzwa uyo tapel
Asante jerry..mana kuna jamaa wa spy app namuuliza aitume hyo app akaniambia ingia pm, nikaingia mwishon anasema tuwasiliane nikaona hawa ndo majambazi yenyew...nikanyut
 
Back
Top Bottom