Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu hivi kuna mtu kwake inakubali kifurushi cha boom pack kupitia menu ya TTCL
Kwangu inasema hivi
Error occurred please contact TTCL support. Txn Ref#: 18066699

Pia salio lipo TTCL PESA kama 2500 nataka ninunue kifurushi cha 2500 kama kuna mtu amaelewa kuhusu hii kitu anielekeze wapi nakosea.
 
Sio ya chuo iyo ujue
 
Kama Kuna mtu humu anaefanya huduma ya line ya TTCL ya kawaida kuwa ya chuo namuhitaji tafadhari🙏#PM
 
Kwa sasa huitaji laini yako ibadilishwe kuwa ya chuo,
Hiyo hiyo laini ya kawaida ingia kwa menu hii
*150*71*
Chagua 3
Chagua 2
Chagua 1: Boom Pack
- Hapo chagua kama ni Pack Data Only au Pack Bundle
Pia salio lipo TTCL PESA kama 2500 nataka ninunue kifurushi cha 2500
Fuatisha huo utaratibu, hapo juu, ACHA kutumia hii *148*30*35#
 
Kwa sasa huitaji laini yako ibadilishwe kuwa ya chuo,
Hiyo hiyo laini ya kawaida ingia kwa menu hii
*150*71*
Chagua 3
Chagua 2
Chagua 1: Boom Pack
- Hapo chagua kama ni Pack Data Only au Pack Bundle

Fuatisha huo utaratibu, hapo juu, ACHA kutumia hii *148*30*35#
Nikitumia hiyo huduma ya TTCL PESA naambiwa hivi mkuu na wakati kuna 2500 TTCL PESA nikahisi labda ni kwa vile haibaki balance vivyo hivyo hata nikiunga cha 2000 au 1500 napata jumbe hii
IMG_20190512_165325.jpg
 
Nikitumia hiyo huduma ya TTCL PESA naambiwa hivi mkuu na wakati kuna 2500 TTCL PESA nikahisi labda ni kwa vile haibaki balance vivyo hivyo hata nikiunga cha 2000 au 1500 napata jumbe hii
Kwa upande wangu iko sawa, na dk chache nimeunga kifurushi cha siku na imekubari
1095267
 
tahadhari jamii forum watoto wa mjini ni wengi usije kuingia mkenge ukasema ukuambiwa kuna wale ambao wanatangaza kuunga vifurush vya voda kuwa chuo ni matapeli itifaki izingatiwe
Mkuu mbona mpaka sasa kazi yangu hujakamilisha nini tatizo
 
Back
Top Bottom