Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
kasi juu ya kasi...π π π πππ
wadau wamelia kwanini nilitoa siri.
alietoa sadaka ndio atanufaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss Me ntakuja kutoa sadaka tenaView attachment 2169664
kasi juu ya kasi...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji2][emoji2][emoji2]
wadau wamelia kwanini nilitoa siri.
alietoa sadaka ndio atanufaika
Boss Me ntakuja kutoa sadaka tena
Muandiko wako mkuu kama unataka kutuvuta wasap hv au mm sijaelewa.Chuma nyingine iko njiani
Asanteni wanangu mnaokuja pm kunipa moyo na sadaka juu...
No retreat...
View attachment 2169774View attachment 2169775
Mi ntakufata PM mkuu tuyajenge maana Sky VPN nimekuja kuiona Leo wakiwa washafunga, Ila EC Tunnel bado nafaidi mzigo Kwa kwasi ya 4GPamoja na kuenjoy sana mtelezo wa sky vpn ila ni wadau wawili tu ndio wametoa shukrani.
Binadamu Bwanaπππ π
Tumeteleza pamoja kutoka Stark Vpn, Ec tunnel Pro mpaka Sky Vpn
Kwa sasa niseme asanteni sana tutaonana kivingine.
kamtelezo kwa sky kanapatikana kiujanja mwingine kabisa
I dont dare to say... nisiwe mnafiki!
Iwe watsap iwe pm ninachojua wana jf wengi hawana shukrani...Muandiko wako mkuu kama unataka kutuvuta wasap hv au mm sijaelewa.
Haahaaa Ila mi sio mwenyewe [emoji23]DJ JD
nakukubali sana, ndiyo DJ wangu bora wa mda woteHaahaaa Ila mi sio mwenyewe [emoji23]
DahYani saivi ndo wamemwaga MB hadi basi....sema kuna mwanangu leo nimdownlodia ikagoma[emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2169617
Utani tu mkuu usi take serious kaka, kwa kawaida wavumbuzi ni vzr kuwa compensate ili kuwapa morale.Iwe watsap iwe pm ninachojua wana jf wengi hawana shukrani...
niliunguza 15,000 kupata sky vpn , nikachoma 5000 kupata Ec tunnel.. nikijua wanangu watanipoza kidogo lakn wapi[emoji28][emoji28][emoji28] any way silazimishi wala nini
acha tu libanwe[emoji51][emoji51][emoji51]
Sijaita mtu watsap wala sijaileta hii ili kula hela ya mtu...
I am out
Hamna kitu hapo tambo tu hizoView attachment 2169664
kasi juu ya kasi...π π π πππ
wadau wamelia kwanini nilitoa siri.
alietoa sadaka ndio atanufaika
Ungesema hivyo toka Day One tunaanza na Sky Vpn. Ume enjoy sana mkuu nilikuona ulifika hadi gb 20π πHamna kitu hapo tambo tu hizo
Kaufahamu kameanza kukukaa sasa..πPamoja na kuenjoy sana mtelezo wa sky vpn ila ni wadau wawili tu ndio wametoa shukrani.
Binadamu Bwanaπππ π
Tumeteleza pamoja kutoka Stark Vpn, Ec tunnel Pro mpaka Sky Vpn
Kwa sasa niseme asanteni sana tutaonana kivingine.
kamtelezo kwa sky kanapatikana kiujanja mwingine kabisa
I dont dare to say... nisiwe mnafiki!
Nendeni mkapigwe na jamaa huko pmKaufahamu kameanza kukukaa sasa..π