Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Screenshot_20220330-195716.png

kasi juu ya kasi...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

wadau wamelia kwanini nilitoa siri.

alietoa sadaka ndio atanufaika
 
Pamoja na kuenjoy sana mtelezo wa sky vpn ila ni wadau wawili tu ndio wametoa shukrani.

Binadamu BwanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…

Tumeteleza pamoja kutoka Stark Vpn, Ec tunnel Pro mpaka Sky Vpn

Kwa sasa niseme asanteni sana tutaonana kivingine.

kamtelezo kwa sky kanapatikana kiujanja mwingine kabisa

I dont dare to say... nisiwe mnafiki!
 
Chuma nyingine iko njiani
Asanteni wanangu mnaokuja pm kunipa moyo na sadaka juu...

No retreat...
Screenshot_20220330-213337.png
Screenshot_20220330-213453.png
 
Pamoja na kuenjoy sana mtelezo wa sky vpn ila ni wadau wawili tu ndio wametoa shukrani.

Binadamu BwanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…

Tumeteleza pamoja kutoka Stark Vpn, Ec tunnel Pro mpaka Sky Vpn

Kwa sasa niseme asanteni sana tutaonana kivingine.

kamtelezo kwa sky kanapatikana kiujanja mwingine kabisa

I dont dare to say... nisiwe mnafiki!
Mi ntakufata PM mkuu tuyajenge maana Sky VPN nimekuja kuiona Leo wakiwa washafunga, Ila EC Tunnel bado nafaidi mzigo Kwa kwasi ya 4G
 
Muandiko wako mkuu kama unataka kutuvuta wasap hv au mm sijaelewa.
Iwe watsap iwe pm ninachojua wana jf wengi hawana shukrani...

niliunguza 15,000 kupata sky vpn , nikachoma 5000 kupata Ec tunnel.. nikijua wanangu watanipoza kidogo lakn wapiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… any way silazimishi wala nini

acha tu libanwe😬😬😬

Sijaita mtu watsap wala sijaileta hii ili kula hela ya mtu...

I am out
 
Iwe watsap iwe pm ninachojua wana jf wengi hawana shukrani...

niliunguza 15,000 kupata sky vpn , nikachoma 5000 kupata Ec tunnel.. nikijua wanangu watanipoza kidogo lakn wapi[emoji28][emoji28][emoji28] any way silazimishi wala nini

acha tu libanwe[emoji51][emoji51][emoji51]

Sijaita mtu watsap wala sijaileta hii ili kula hela ya mtu...

I am out
Utani tu mkuu usi take serious kaka, kwa kawaida wavumbuzi ni vzr kuwa compensate ili kuwapa morale.
 
Pamoja na kuenjoy sana mtelezo wa sky vpn ila ni wadau wawili tu ndio wametoa shukrani.

Binadamu BwanaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜…πŸ˜…

Tumeteleza pamoja kutoka Stark Vpn, Ec tunnel Pro mpaka Sky Vpn

Kwa sasa niseme asanteni sana tutaonana kivingine.

kamtelezo kwa sky kanapatikana kiujanja mwingine kabisa

I dont dare to say... nisiwe mnafiki!
Kaufahamu kameanza kukukaa sasa..πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom