Nobunaga
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 1,205
- 5,121
Sawa boss.... Ngoja jumatatu nimcheki asbh na mapema..Wikiendi leo jamaa atakuwa kazima simu maana usumbufu ni mwingi.
Kwa sasa ngoja nijaze ile form kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa boss.... Ngoja jumatatu nimcheki asbh na mapema..Wikiendi leo jamaa atakuwa kazima simu maana usumbufu ni mwingi.
Kwangu natumia tigoKwa mtandao gani?
Kaka hujanipa ramani, mmefika huku vikindu mkuranga?Wikiendi leo jamaa atakuwa kazima simu maana usumbufu ni mwingi.
Huduma ipo Tanzania nzima babuKaka hujanipa ramani, mmefika huku vikindu mkuranga?
Toa hii hapa utachoma
Nahitaji gb za ttcl Kama zipo please
Wewe kama nani? Punguza kukurupukaToa hii hapa utachoma
Hii kitu inapatikaje?!
Hapana. Mwanzoni unalipa 25,000. Then bili ya mwezi ulioanza itakuja mwisho wa mwezi.Kwa hiyo mwanzo unalipa 50,000/- pamoja na deposit?
Mkuu tunaipataje hii?
Tupe namna ya kuipata hii mkui
kama huwezi kueleza umepost ya nn?? huo ni utoto
Piga hesabu gb1 ni sh 2000 saiziduuuuh kla mwezi unatoa 25,000 mbna hapo balaa nkajua ukitoa 25,000 inakuwa tyar unatamba tu mwaka mzima
Mimi mwenyewe natafuta connection mkuuMkuu tunaipataje hii?
Nimecheki Bufee according to TTCL inaji accumulate kila ukiunga, assume mtu si mtumiaji sana wa MB ana anaunga kifurushi kila siku ama wiki baada miezi kadhaa atakua na hizo GB.Mimi mwenyewe natafuta connection mkuu
Wewe kama nani? Punguza kukur
Nimefanya calculation hicho kifurushi ni 1.5+M.Nimecheki Bufee according to TTCL inaji accumulate kila ukiunga, assume mtu si mtumiaji sana wa MB ana anaunga kifurushi kila siku ama wiki baada miezi kadhaa atakua na hizo GB.
Kwamba sh ngapi?Nimefanya calculation hicho kifurushi ni 1.5+M.
umegomea kujibu PM?Kwamba sh ngapi?
Nineshindwa kujiungaTigo