The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Ndiyo maana nikamuuliza yuko wapi ili kama yupo Dar nimfate alipo aniunge ndio nmpe pesa lkn aliposema yupo zenji nikaachana naye.Usigeuke nyuma......ni TAPELI huyo ushauri wangu ao watu ni wajanja janja apooo nadhani yupo tz bara ila anakwambia yupo zenji